polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Shida kubwa niliyo ibaini kwenye mifumo mingi ya serikali ni kuwa wanatumia servers ambazo ni za kowango cha chini ,speed ndogo , na cheep technology kwa sababu ya wizi wakati wa manunuzi ya vifaa hivyoKama vitu gani?
, ndio maana zikipata jam kidogo tu systems zina stuck na ndio hayo maswala ya mtandao unasumbua yanapo anzia.
Sasa wakati mwingine inawalazimu wabane bandwidth kwa baadhi ya huduma ili huduma zile za lazima zisikwame na hasa zile huduma zenye madhara endapo hazita run vizuri chini ya kiwango.
HICHO NDICHO NILICHO BAINI BAADA YA UTAFITI WANGU KWENYE HII MIFUMO MINGI YA SERIKALI