TRA Tax Assessment and returns

Hiyo kwa aliesajili TIN pekee, je akiingizwa kwenye malipo ya VRN(VAT) ni mambo gani huzingatiwa wakati wa kukokotoa kodi?
 
Accounting Profit is not Taxable Profit chief :A S 39:

uko right kaka...ni vizur akamwona consultant...manake apo kweny salary kuna mambo ya SDL kama una wafanyakaz weng...plus watu wa tra ni wajanja huwa wanacalculate markup...wakikuta iko above 50% imekula kwako wanakwambia ulete sales na purchases afu uone kodi yake utakayo lipa
 
Got your point mkuu thank you so much.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Bwana Malyeng,naona utakuwa umesoma vizuri Income tax ila kwa tarehe na miezi ya kulipa ninakukatalia kabisa angalia Biashara yake inaanza lini mkuu then hizo tarehe ulizoweka sivyo kabisa hiyo ni starting business ya mwezi january lakini mtoa mada kakuambia bussiness yake ni Dec 01,2013.kuwa makini na swali tafadhali not just run to conclusion please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…