TRA Tax Assessment and returns

TRA Tax Assessment and returns

Mkuu chukua hiyo 1.6M zidisha kwa miezi 12 kwanza then kwa asimilia 30 unapata kama 5.76M gawanya kwa nne upate kila quarter unatakiwa upeleke kiasi gani sawa na Tzs 1.44 kwa kila quarter na ww kwa ulinganifu quarter yako deadline zake ni kama ifuatavyo febr 28,May 31,Aug 31 na Nov 30,fomu ingia kwa website ya tra ucheki sehemu wameandika forms then unadownload mkuu wangu hapo unapeleka tra wanapiga muhuri plus cheque ya malipo kaka kwisha au nenda ofisi kwao wanatoa hizo form ni bure.

Hiyo kwa aliesajili TIN pekee, je akiingizwa kwenye malipo ya VRN(VAT) ni mambo gani huzingatiwa wakati wa kukokotoa kodi?
 
Accounting Profit is not Taxable Profit chief :A S 39:

uko right kaka...ni vizur akamwona consultant...manake apo kweny salary kuna mambo ya SDL kama una wafanyakaz weng...plus watu wa tra ni wajanja huwa wanacalculate markup...wakikuta iko above 50% imekula kwako wanakwambia ulete sales na purchases afu uone kodi yake utakayo lipa
 
Got your point mkuu thank you so much.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Bwana Malyeng,naona utakuwa umesoma vizuri Income tax ila kwa tarehe na miezi ya kulipa ninakukatalia kabisa angalia Biashara yake inaanza lini mkuu then hizo tarehe ulizoweka sivyo kabisa hiyo ni starting business ya mwezi january lakini mtoa mada kakuambia bussiness yake ni Dec 01,2013.kuwa makini na swali tafadhali not just run to conclusion please.
 
Back
Top Bottom