jana kama vile ulikuwa moyoni mwao wamezindua kampeni hiyo Tegeta mkoa wa kikodi Tegeta ndiyo wameanza nayo mpaka mwezi wa 10 mwaka huu.Tayari kuna wananchi 4 wameshalamba mkwanjakivipi itaongeza gharama
Na imeonekana kulamba Asali ni mihimu sana kwa afya maana hata akina Mbowe baada ya kulamba asali,asali imegeuka kizima akili hata habari ya katiba mpya haiongelewi tena kwa msisitizo unaostahili.kazi ipo nchi hii.Asali haifai tumesikia na Tundu Lisu na asali tayari kalamba kazi tunayo.Serikali ipige marufuku matumizi ya risiti za EFD maana zinawazuia wafanyabiashara kulamba asali
Mabadiliko ya kweli huwa inaletwa na watuNa imeonekana kulamba Asali ni mihimu sana kwa afya maana hata akina Mbowe baada ya kulamba asali,asali imegeuka kizima akili hata habari ya katiba mpya haiongelewi tena kwa msisitizo unaostahili.kazi ipo nchi hii.Asali haifai tumesikia na Tundu Lisu na asali tayari kalamba kazi tunayo.
Siyo rahis kihivyo unavyodhania.TRA kwa muda mrefu wamekua wakilalamika kupoteza mapato mengi kutokana na wauzaji wa bidhaa kutotoa risiti za Kielektroniki
hii imesababishwa na wananchi wenyewe kutojua umuhimu wa kudai risiti za EFD
nilisikia TRA wameanzisha mchongo kwa baadhi ya wakazi wa dar kwamba ukikutwa na TRA umenunua mzigo na unarisiti nasi unapewa zawadi,
fanyeni hivi,
Tangazeni kwa watanzania kwamba mtu yoyote akinunua bidhaa yoyote atunze risiti yake ya EFD zikifika risiti 100 aje nazo TRA impe bonus!
mkifanya hvyo mtakua mmewamaliza hakuna mtu atakayenunua bidhaa aache kuomba risiti
View attachment 2294350