Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wataelewa tu kwamba Tanzania HAPA KAZI TU, kama walizoea rushwa kupitia njia za panya, ni huko Kenya, huku sisi ni.sheria mwanzo mwishoHela kabaki Kenya, majivu huko bongolala...a Kenyan is smiling all the way to the bank.
Owky u will be surprised! Wait in the next 48 hrs u will hear a note of protest from GoK. Mind u the law cut both ways like a seesaw!Hela kabaki Kenya, majivu huko bongolala...a Kenyan is smiling all the way to the bank.
Wacha kwanza magufuli apitie Thika Superhighway, He will be humbled akikumbuka vijichororochoro hiyo vyenu.Owky u will be surprised! Wait in the next 48 hrs u will hear a note of protest from GoK. Mind u the law cut both ways like a seesaw!
Umesikia ni gunia 100 tena njia za panya, sio official business ni vibiasha vya magendo huko mipakani, ni kama nduzi au kuku kuingizwa huko mipakani, haina maana kwamba kuna importation and exportation of kuku na ndizihivi Tanzania ina import chai? imagine sikuwa na habari...nilidhani wanapanda chai...
Owky u will be surprised! Wait in the next 48 hrs u will hear a note of protest from GoK. Mind u the law cut both ways like a seesaw!
Yule mama Amina Mohamed yupo wapi aje atoe povu tena?, eti anatetea biashara za magendo, mtu alishanunua biashara huko Kenya, ninyi mnahusikaje tena kama amekamatwa ndani ya Tanzania kwa kuvunja sheria za Tanzania?.. punguzeni nyege hizo.Hela kabaki Kenya, majivu huko bongolala...a Kenyan is smiling all the way to the bank.
Hio picha ya msafara wa magufuli Thika superhighway utakapoipata tu jombaa unitag. Ntachapilia frame na misumari ya steel ukutani niwe naitazama kila siku. πππWacha kwanza magufuli apitie Thika Superhighway, He will be humbled akikumbuka vijichororochoro hiyo vyenu.
Mbona povu kama majani chai keshachomwa?Yule mama Amina Mohamed yupo wapi aje atoe povu tena?, eti anatetea biashara za magendo, mtu alishanunua biashara huko Kenya, ninyi mnahusikaje tena kama amekamatwa ndani ya Tanzania kwa kuvunja sheria za Tanzania?.. punguzeni nyege hizo.
Hahaha a good memory it will be.Hio picha ya msafara wa magufuli Thika superhighway utakapoipata tu jombaa unitag. Ntachapilia frame na misumari ya steel ukutani niwe naitazama kila siku. πππ
low quality inakuwa imported ili wauze kwa wenye uwezo mdogo immediately ina compete na local produced, tambua kuwa maskini ni consumers wakwanza wa low quality ya chakula sasa angalia idadi na wanafanya hivyo kwa kuwa hawana uwezo wa kununua quality, yatupasa kuinua msiah ya wananinchi ki uchumi ili wale kinachotakiwa na huku serikali ikizuia low quality in the markethivi Tanzania ina import chai? imagine sikuwa na habari...nilidhani wanapanda chai...
Hivi hiyo thicker ni Superhighway au Highway?Hio picha ya msafara wa magufuli Thika superhighway utakapoipata tu jombaa unitag. Ntachapilia frame na misumari ya steel ukutani niwe naitazama kila siku. πππ
Ni superhighway maanake kwa maldc kama watz ambao hawajazoea haya mambo huwa wanabaki vinywa wazi na kupiga piga tupicha. Kwetu ni kawaida sana bana. Bado kuna zingine kali kuliko ya thika.Hivi hiyo thicker ni Superhighway au Highway?
Wacha kwanza magufuli apitie Thika Superhighway, He will be humbled akikumbuka vijichororochoro hiyo vyenu.
Bara bara ipi inazidi Thika highway Kenya?, subirini kidogo tu, next year mtakuja kuona bullet trains zinafananaje, mlizoea kuzion kwenye TV tu. By theway jana tumefungua the best Hospital, hata Europe hawajawa na Hospitali ya kisasa kama hii, njooni mje kujionea tofauti, sio lazima uwe mgonjwa, njooni tu kamawataliiNi superhighway maanake kwa maldc kama watz ambao hawajazoea haya mambo huwa wanabaki vinywa wazi na kupiga piga tupicha. Kwetu ni kawaida sana bana. Bado kuna zingine kali kuliko ya thika.
Marvelous and jaw dropping scenery ni kama mkenya akiwa Dubai.kwa kweli kabla ya kufika hapa kwetu Kasarani lazima watapitia barabara ya Thika, nafikiri itakua poa sana maana baada ya hapo watarudi Tanzania na ujumbe wa wao kuacha kushindana na Kenya, wafanye yao maana bado wako nyuma sana.
Hizi hapa picha za barabara watakayopitia kabla kuingia uwanjani, unajua kwao ndio wameanza kujenga flyover.
Halafu pia wapitie Ring Road
Very well! Hiyo nayo tutaweka ban ila msije hapa kulalamika eti tunazuia bidhaa zenu kuja tz!hivi Tanzania ina import chai? imagine sikuwa na habari...nilidhani wanapanda chai...