TRA torched 150 bags of substandard tea from Kenya

TRA torched 150 bags of substandard tea from Kenya

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Screenshot_2017-11-25-20-17-38.png

MY TAKE
Congrats to TFDA n TRA. Ni era ya kufuata sheria.
 
Hela kabaki Kenya, majivu huko bongolala...a Kenyan is smiling all the way to the bank.
Owky u will be surprised! Wait in the next 48 hrs u will hear a note of protest from GoK. Mind u the law cut both ways like a seesaw!
 
Owky u will be surprised! Wait in the next 48 hrs u will hear a note of protest from GoK. Mind u the law cut both ways like a seesaw!
Wacha kwanza magufuli apitie Thika Superhighway, He will be humbled akikumbuka vijichororochoro hiyo vyenu.
 
hivi Tanzania ina import chai? imagine sikuwa na habari...nilidhani wanapanda chai...
Umesikia ni gunia 100 tena njia za panya, sio official business ni vibiasha vya magendo huko mipakani, ni kama nduzi au kuku kuingizwa huko mipakani, haina maana kwamba kuna importation and exportation of kuku na ndizi
Owky u will be surprised! Wait in the next 48 hrs u will hear a note of protest from GoK. Mind u the law cut both ways like a seesaw!
 
Hela kabaki Kenya, majivu huko bongolala...a Kenyan is smiling all the way to the bank.
Yule mama Amina Mohamed yupo wapi aje atoe povu tena?, eti anatetea biashara za magendo, mtu alishanunua biashara huko Kenya, ninyi mnahusikaje tena kama amekamatwa ndani ya Tanzania kwa kuvunja sheria za Tanzania?.. punguzeni nyege hizo.
 
Mbona povu kama majani chai keshachomwa?
 
Hio picha ya msafara wa magufuli Thika superhighway utakapoipata tu jombaa unitag. Ntachapilia frame na misumari ya steel ukutani niwe naitazama kila siku. 😀😀😀
Hahaha a good memory it will be.
 
hivi Tanzania ina import chai? imagine sikuwa na habari...nilidhani wanapanda chai...
low quality inakuwa imported ili wauze kwa wenye uwezo mdogo immediately ina compete na local produced, tambua kuwa maskini ni consumers wakwanza wa low quality ya chakula sasa angalia idadi na wanafanya hivyo kwa kuwa hawana uwezo wa kununua quality, yatupasa kuinua msiah ya wananinchi ki uchumi ili wale kinachotakiwa na huku serikali ikizuia low quality in the market
 
Wacha kwanza magufuli apitie Thika Superhighway, He will be humbled akikumbuka vijichororochoro hiyo vyenu.

kwa kweli kabla ya kufika hapa kwetu Kasarani lazima watapitia barabara ya Thika, nafikiri itakua poa sana maana baada ya hapo watarudi Tanzania na ujumbe wa wao kuacha kushindana na Kenya, wafanye yao maana bado wako nyuma sana.
Hizi hapa picha za barabara watakayopitia kabla kuingia uwanjani, unajua kwao ndio wameanza kujenga flyover.

Nairobi-Thika-Highway.jpg

CW_dmbtWwAAbPFt.png

globe-roundabout-1-now.jpg

Halafu pia wapitie Ring Road
DG3BkEyW0AA_L0k.jpg
 
Ni superhighway maanake kwa maldc kama watz ambao hawajazoea haya mambo huwa wanabaki vinywa wazi na kupiga piga tupicha. Kwetu ni kawaida sana bana. Bado kuna zingine kali kuliko ya thika.
Bara bara ipi inazidi Thika highway Kenya?, subirini kidogo tu, next year mtakuja kuona bullet trains zinafananaje, mlizoea kuzion kwenye TV tu. By theway jana tumefungua the best Hospital, hata Europe hawajawa na Hospitali ya kisasa kama hii, njooni mje kujionea tofauti, sio lazima uwe mgonjwa, njooni tu kamawatalii
 
kwa kweli kabla ya kufika hapa kwetu Kasarani lazima watapitia barabara ya Thika, nafikiri itakua poa sana maana baada ya hapo watarudi Tanzania na ujumbe wa wao kuacha kushindana na Kenya, wafanye yao maana bado wako nyuma sana.
Hizi hapa picha za barabara watakayopitia kabla kuingia uwanjani, unajua kwao ndio wameanza kujenga flyover.

Nairobi-Thika-Highway.jpg

CW_dmbtWwAAbPFt.png

globe-roundabout-1-now.jpg

Halafu pia wapitie Ring Road
DG3BkEyW0AA_L0k.jpg
Marvelous and jaw dropping scenery ni kama mkenya akiwa Dubai.
 
wataionja Thika Superhighway nzima kabla ya kufika kwenye stadium ya Kasarani...mi nakwambia watajinyonga leo usiku...Pia watazionja Thika Road Mall, safari Park Hotel na Garden City Mall...
garden_city_exterior.jpg
gje5z1tspgny59842a5d0df7d.jpg
Thika-Road-Mall.jpg
 
Back
Top Bottom