Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ndani ya siku mbili tu unakuwa umefika ila wale watu Wa sorting facility ndio shida, unaweza kaa hapo mzigo hata wiki wanakwambia mzigo hawauoni.mzigo ukitumwa kwa posta kutoka dsm mpaka manyara au arusha huchukua siku ngp?
Hakuna mzigo unaotoka nje bila kuwa na documents
Me kuna mzigo wangu umefika pale.. naenda nawapa tracking number wanasema eti kwenye system unaonyesha umefika ila hawajui ulipo..
Yani hapa sijui nifanyeje. Kila siku story ni zile zile.
Ni simu ndugu. Yani imenibidi niclaim geekbuy kwa ajili ya refund.Ushapigwa ndug yangu. Mara mbili nilipoteza simu, mara nyengine deodorant nikaishia kuclaim ebay wakanirefund
Unawaonea Posta. Hiyo Kodi inatozwa na TRA. Customs.Hili Shirika la Posta na TTCL kuna mchawi kajificha nyuma ya pazia.
Hadi aje kumulikwa kwa kung'olewa kidhalilishaji bila huruma.
Haya mashirika yalikuwa ni kimbilio sana siku za nyuma.
Lakini aliopoingia mchawi huduma zikawa za hovyo sana. Mfano huduma za posta za ems!
Mtu akitumiwa pesa, inachukua muda mrefu sana mhusika kufikiwa. Mpaka ikawa inadaiwa kuwa, wanajikopesha wao kwanza hela za watu, hadi wapate mishahara ndiyo wafidie, ems ikapoteza maana na kupelekea kufa kifo cha kawaida na kufanya miamala ya kampuni za simu za mkononi inawiri. Ems wamebakia na huduma za kusafirisha vishurushi kwa bei za ajabu ajabu.
Mfano, bahasha size ya A4, kwenye mabasi wanasafirisha kwa gharama ya sh.5,000/= tu, lakini wao ni Sh.12,000/=.
Tukija Ttcl, pamoja na ushindani mkubwa wa vyombo na bidhaa za mawasiliano ilivyo kubwa duniani kwa sasa, mhujumu mmoja akalazimisha mobile phone pamoja fwt zote ziwe za mtandao mmoja!
Maana yake alidhamiria kuua hilo shirika la umma ili kuwezesha kampuni binafsi ziweze kutawala, nadhani walikuwa na hisa kwenye kampuni hizo!
Tuseme tu kuwa, menejimenti yote hiyo ya posta na ttcl kuna vigogo wahujumu walioshika remote kuchezesha shirika watakavyo kwa ajili ya matumbo yao.
Afanye awezavyo, JPM amulike kurunzi yake na kisha ashushe rungu, ili mambo yaweze kukaa sawa.
hivi wakati unanunua aliexpress kwenye country code huwa unajaza nini??Me mnunuzi mzuri wa aliexpress na eBay vitu nachukulia posta Zamani gharama ilikuwa sh 1000 kwa parcel, Sasa hivi 1500 kwa kila yeye huyo rafiki yako alinunua kwa njia Zipi??
Kwenye country code weka code ya nchi yoyote mradi nchi umejaza Tanzania namba Yako ya simuhivi wakati unanunua aliexpress kwenye country code huwa unajaza nini??
Vp kuhusu kupigiwa simu na posta mzigo ukifika??
viwanda Hatuna, nchi itaakumbwa Na uhaba wa bidhaa utakaoleta demand pull inflationyani kodi ipo sawa na bei ya bidhaa basi lengo lake ni kukatisha tamaa kuingiza vitu toka nje.
Miyayusho sana wale watu was paleMe kuna mzigo wangu umefika pale.. naenda nawapa tracking number wanasema eti kwenye system unaonyesha umefika ila hawajui ulipo..
Yani hapa sijui nifanyeje. Kila siku story ni zile zile.