TRA-tozo mpya za parcel zinazo pitia posta ziangiliwe upya

hivi wakuu mzigo au parcel kutoka posta ya dsm mpaka posta za mikoani mfn arusha au manyara huchukua muda gan kufika??
 
mzigo ukitumwa kwa posta kutoka dsm mpaka manyara au arusha huchukua siku ngp?
 
mzigo ukitumwa kwa posta kutoka dsm mpaka manyara au arusha huchukua siku ngp?
Ni ndani ya siku mbili tu unakuwa umefika ila wale watu Wa sorting facility ndio shida, unaweza kaa hapo mzigo hata wiki wanakwambia mzigo hawauoni.
 
TRA ni chanzo cha kufa kwa biashara
 
Dah nlikua nmekuja na Moto ila kwa hii habari Nmefyata mkia
 
Nilifikiri ni dhl tu, kumbe na posta wameanza!?
 
Me kuna mzigo wangu umefika pale.. naenda nawapa tracking number wanasema eti kwenye system unaonyesha umefika ila hawajui ulipo..

Yani hapa sijui nifanyeje. Kila siku story ni zile zile.

Ushapigwa ndug yangu. Mara mbili nilipoteza simu, mara nyengine deodorant nikaishia kuclaim ebay wakanirefund
 
Ushapigwa ndug yangu. Mara mbili nilipoteza simu, mara nyengine deodorant nikaishia kuclaim ebay wakanirefund
Ni simu ndugu. Yani imenibidi niclaim geekbuy kwa ajili ya refund.

Wakiendelea hivi yani hii ishu ya e-commerce Tanzania itatushinda.
 
Unawaonea Posta. Hiyo Kodi inatozwa na TRA. Customs.
 
Sakasaka Mao! Unatuma hela kwenye bahasha. Karne hii.
Usiwaonee EMS. Now a days financial inclusion ( mpesa Tigo air tel, nknk yapo kila mtaa.
 
Me mnunuzi mzuri wa aliexpress na eBay vitu nachukulia posta Zamani gharama ilikuwa sh 1000 kwa parcel, Sasa hivi 1500 kwa kila yeye huyo rafiki yako alinunua kwa njia Zipi??
 
Hawa jamaa bado wako stone age kabisa
 
Me mnunuzi mzuri wa aliexpress na eBay vitu nachukulia posta Zamani gharama ilikuwa sh 1000 kwa parcel, Sasa hivi 1500 kwa kila yeye huyo rafiki yako alinunua kwa njia Zipi??
hivi wakati unanunua aliexpress kwenye country code huwa unajaza nini??
Vp kuhusu kupigiwa simu na posta mzigo ukifika??
 
hivi wakati unanunua aliexpress kwenye country code huwa unajaza nini??
Vp kuhusu kupigiwa simu na posta mzigo ukifika??
Kwenye country code weka code ya nchi yoyote mradi nchi umejaza Tanzania namba Yako ya simu

Mzigo ukifika posta wanakutumia msg uwende ukafate .
 
Me kuna mzigo wangu umefika pale.. naenda nawapa tracking number wanasema eti kwenye system unaonyesha umefika ila hawajui ulipo..

Yani hapa sijui nifanyeje. Kila siku story ni zile zile.
Miyayusho sana wale watu was pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…