TRA-tozo mpya za parcel zinazo pitia posta ziangiliwe upya

Me mnunuzi mzuri wa aliexpress na eBay vitu nachukulia posta Zamani gharama ilikuwa sh 1000 kwa parcel, Sasa hivi 1500 kwa kila yeye huyo rafiki yako alinunua kwa njia Zipi??
Agiza tena utakutana nao
 
Me mnunuzi mzuri wa aliexpress na eBay vitu nachukulia posta Zamani gharama ilikuwa sh 1000 kwa parcel, Sasa hivi 1500 kwa kila yeye huyo rafiki yako alinunua kwa njia Zipi??
Mi natumia sana Alibaba na aliexpress juzi nimeagiza smartbands (miband2) pisi tano tu za ndugu na jamaa kila moja ni kama dola 22.6 hivi mpaka inafika hapa ila kodi zao balaaa. Pamoja na kuwapa invoice na Bank slip niliyolipia barclays.. Nadhani kuna haja ya wahusika kuangalia upya haya mambo…
 
Hakuna mzigo unaotoka nje bila kuwa na documents
Madai yao ni kuwa wafanyabiashara wa bongo wanakoludi na wauzaji alibaba kudiklea bei ya chini kuliko bei halisi ingawa hata sasa ukiwapa bank slip uliyolipia mzigo hawataki wanataka kadiria wanavyojua wao
 
Ni simu ndugu. Yani imenibidi niclaim geekbuy kwa ajili ya refund.

Wakiendelea hivi yani hii ishu ya e-commerce Tanzania itatushinda.

Kitakachofuata utakuwa hawafanyi shipping to tz
 

me nanunua aliexpress au eBay Natoa 1500 kila parcel na kitambulisho changu basi sijawahi kudaiwa receit ya bnk Wala nini. Alibaba Niliona milolongo mingi nikaachana nao
 
[QUOTEKwenye country code weka code ya nchi yoyote mradi nchi umejaza Tanzania namba Yako ya simu

Mzigo ukifika posta wanakutumia msg uwende ukafate .


Country code ya Tanzania ni 255
usiweke yoyote! weka hiyo. Namba ya simu jaza ya kwako[/QUOTE]
Country code hiyo ya haikubali inagoma Hiyo code 255 ni ya simu . Tanzania Hatuna code no
 
Kumbe uzi umefutwa Kwaheriiii mtoa post hutaki wenzio wajifunze
 
Country code ya Tanzania ni 255
usiweke yoyote! weka hiyo. Namba ya simu jaza ya kwako
Country code hiyo ya haikubali inagoma Hiyo code 255 ni ya simu . Tanzania Hatuna code no
[/QUOTE]
Nchi zote duniani zina COUNTRY CODE kama ina goma weka +255 au 0255
Kitu ambazo nchi nyingi hazina ni Zip code; ila country code ipo na inafanya kazi
 
Wanakatisha tamaa kwa watu tunaotaka kuagiza bidhaa nje ya nchi wakati hata Tz ya Viwanda yenyewe haina hata dalili Nyambaaaafffff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…