Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
TRA mnakumbuka hii kauli ya Rais? Mmefikia wapi? Jana nimesikia TRA kwa upande wa kodi ya majengo wamepata msamaha wa riba kuanzia July hadi December. Mbona kwa wafanyabiashara zingine hatusikii kauli ya TRA? Mnangoja nini?