TRA: Ukinunua bidhaa na usipodai risiti utapigwa faini ya kati ya Tsh. 30,000 na Tsh. 1,500,000

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mwongozo wa kisheria kwa wananchi wote kwamba endapo utanunua bidhaa au Huduma ni lazima udai risiti.

Endapo utakamatwa umenunua bidhaa au Huduma na hauna risiti basi utapigwa faini ya kati Tsh. 30,000 na 1,500,000 kwa mujibu wa kanuni za sheria ya kodi.

Kumbuka kudai risiti kila wakati.

Maendeleo hayana vyama!

----
Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), imesema kuwa wataanza msako katika maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kuwakagua na kuwatoza faini wanunuaji wanaonunua bidhaa bila kuomba risiti na wafanyabiashara wanaouza bidhaa bila kutoa risiti.

Kauli hiyo imetolewa hii leo Januari 7, 2021, na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka TRA, Richard Kayombo, wakati akizungumza kwenye kipindi cha SupaBreakfast cha East Africa Radio.

"Kama hautachukua risiti kwenye huduma ama bidhaaa yoyote uliyonunua ambayo inatakiwa kutolewa risiti, unaweza ukatozwa faini ya shilingi 30,000 au Milioni 1.5", amesema Kayombo.

Aidha akizungumzia kuhusu wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu, Kayombo amesema kuwa, "Kama umeuza bidhaa lakini hujatoa risiti adhabu yako ni kati ya Mil. 3 hadi Mil. 4.5 iwe umetoa risiti ya udanganyifu adhabu hiyo inakuhusu au unayo mashine lakini hauitumii".
Hili halidhibitiki, kwa sababu na mteja naye akinunua bila risiti hufanyiwa tahfifu ya bei
 
Mpaka miradi ikamilike, tutaona na kusikia mengi kutoka TRA.
Rushwa inapanuliwa zaidi. La mahakama zinaongezewa kazi na mshabusu ndo hivo tena.
Watanzania wangapi wataweza lopa papo kwa papo! Anyway inatukumbusha tusijisahau
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mwongozo wa kisheria kwa wananchi wote kwamba endapo utanunua bidhaa au Huduma ni lazima udai risiti.

Endapo utakamatwa umenunua bidhaa au Huduma na hauna risiti basi utapigwa faini ya kati Tsh. 30,000 na 1,500,000 kwa mujibu wa kanuni za sheria ya kodi.

Kumbuka kudai risiti kila wakati.

Maendeleo hayana vyama!

----
Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), imesema kuwa wataanza msako katika maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kuwakagua na kuwatoza faini wanunuaji wanaonunua bidhaa bila kuomba risiti na wafanyabiashara wanaouza bidhaa bila kutoa risiti.

Kauli hiyo imetolewa hii leo Januari 7, 2021, na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka TRA, Richard Kayombo, wakati akizungumza kwenye kipindi cha SupaBreakfast cha East Africa Radio.

"Kama hautachukua risiti kwenye huduma ama bidhaaa yoyote uliyonunua ambayo inatakiwa kutolewa risiti, unaweza ukatozwa faini ya shilingi 30,000 au Milioni 1.5", amesema Kayombo.

Aidha akizungumzia kuhusu wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu, Kayombo amesema kuwa, "Kama umeuza bidhaa lakini hujatoa risiti adhabu yako ni kati ya Mil. 3 hadi Mil. 4.5 iwe umetoa risiti ya udanganyifu adhabu hiyo inakuhusu au unayo mashine lakini hauitumii".

Sio haki kabisa kumlazimisha raia kuchukua risiti, TRA mna wajibu wa kuweka systems maalum ya kukusanya mapato.

The question mbona nchi za wenzetu hulazimishwi kuchukua risiti ? Wanakusanya vipi codi hao revenue?

Kuchukua risiti haimanishi kuwa ndio kulinda kodi, I can’t believe that.
 
TRA ya wakati huu iko mifukoni mwa wafanya biashara, nimeshangaa hadi baadhi vituo vya mafuta havitoi risiti za EFD katikati ya jiji la Dar, mara ya mwisho jana pale Banana, nimeweka mafuta wananiambia risiti hazitoki. Siku kadhaa kabla ya March 17, 2021, kama mashine ya risiti haifanyi kazi basi walikuwa hawauzi kabisa mafuta.
 
Eti saizi wanajifanya kuja na kampeni ya kutishia nyau 👇

IMG-20220130-WA0004.jpg
 
Nitahakikisha unaweza kutoa risiti popote ulipo kirahisi zaidi kwa garama nafuu hata kama hauna bando utaweza kutumia mfumo wa VFD. Huu mfumo umethibitishwa na TRA kutoa risiti halali za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta.

Garama zake ni Tsh. 300,000 pamoja na printer yake.

Piga au whtsp 0753688348.
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mwongozo wa kisheria kwa wananchi wote kwamba endapo utanunua bidhaa au Huduma ni lazima udai risiti.

Endapo utakamatwa umenunua bidhaa au Huduma na hauna risiti basi utapigwa faini ya kati Tsh. 30,000 na 1,500,000 kwa mujibu wa kanuni za sheria ya kodi.

Kumbuka kudai risiti kila wakati.

Maendeleo hayana vyama!

----
Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), imesema kuwa wataanza msako katika maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kuwakagua na kuwatoza faini wanunuaji wanaonunua bidhaa bila kuomba risiti na wafanyabiashara wanaouza bidhaa bila kutoa risiti.

Kauli hiyo imetolewa hii leo Januari 7, 2021, na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka TRA, Richard Kayombo, wakati akizungumza kwenye kipindi cha SupaBreakfast cha East Africa Radio.

"Kama hautachukua risiti kwenye huduma ama bidhaaa yoyote uliyonunua ambayo inatakiwa kutolewa risiti, unaweza ukatozwa faini ya shilingi 30,000 au Milioni 1.5", amesema Kayombo.

Aidha akizungumzia kuhusu wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu, Kayombo amesema kuwa, "Kama umeuza bidhaa lakini hujatoa risiti adhabu yako ni kati ya Mil. 3 hadi Mil. 4.5 iwe umetoa risiti ya udanganyifu adhabu hiyo inakuhusu au unayo mashine lakini hauitumii".
Okoa garama kwa zaidi ya 50% kwa kujiunga na mfumo wa kisasa wa VFD.

Huu ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta,

Ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara na watoa huduma utakuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo.

Wasiliana nasi kwa kupiga au whtsp 0753688348
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mwongozo wa kisheria kwa wananchi wote kwamba endapo utanunua bidhaa au Huduma ni lazima udai risiti.

Endapo utakamatwa umenunua bidhaa au Huduma na hauna risiti basi utapigwa faini ya kati Tsh. 30,000 na 1,500,000 kwa mujibu wa kanuni za sheria ya kodi.

Kumbuka kudai risiti kila wakati.

Maendeleo hayana vyama!

----
Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), imesema kuwa wataanza msako katika maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kuwakagua na kuwatoza faini wanunuaji wanaonunua bidhaa bila kuomba risiti na wafanyabiashara wanaouza bidhaa bila kutoa risiti.

Kauli hiyo imetolewa hii leo Januari 7, 2021, na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka TRA, Richard Kayombo, wakati akizungumza kwenye kipindi cha SupaBreakfast cha East Africa Radio.

"Kama hautachukua risiti kwenye huduma ama bidhaaa yoyote uliyonunua ambayo inatakiwa kutolewa risiti, unaweza ukatozwa faini ya shilingi 30,000 au Milioni 1.5", amesema Kayombo.

Aidha akizungumzia kuhusu wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu, Kayombo amesema kuwa, "Kama umeuza bidhaa lakini hujatoa risiti adhabu yako ni kati ya Mil. 3 hadi Mil. 4.5 iwe umetoa risiti ya udanganyifu adhabu hiyo inakuhusu au unayo mashine lakini hauitumii".
MACHINGA WANAUZA BIDHAA ZENYE THAMANI KUBWA SAWASAWA NA ZA MADUKANI NA HAWATOI RICEIPTS ZOZOTE, SHUGHULIKIENI HILI...
 
hatudai. wanataka wakusanye hayo mapato ili wazile wao tu hizo pesa.
 
Back
Top Bottom