neyl Senior Member Joined Nov 23, 2011 Posts 127 Reaction score 19 Dec 7, 2011 #1 mornie! jaman mwenye updates khs intavyu zlizofanywa TRA
B Baraka Mnyone Member Joined Nov 22, 2011 Posts 12 Reaction score 0 Dec 7, 2011 #2 kaka kwa kawaida tra wanachelewa kidogo kuita watu kazini kwa hiyo kuwa mpole mambo bado.
evelyne Member Joined Nov 30, 2010 Posts 27 Reaction score 7 Dec 7, 2011 #3 dah bora umeuliza...............coz me nilishakata tamaa naomba pia niulize kwani wanahitaji watu wangapi maana lile kundi duh !!!
dah bora umeuliza...............coz me nilishakata tamaa naomba pia niulize kwani wanahitaji watu wangapi maana lile kundi duh !!!
Jumanho Member Joined Sep 14, 2010 Posts 37 Reaction score 5 Dec 7, 2011 #4 Mi nimeshaanza kazi TRA tangu trh 1 dec
neyl Senior Member Joined Nov 23, 2011 Posts 127 Reaction score 19 Dec 7, 2011 Thread starter #5 Jumanho said: Mi nimeshaanza kazi TRA tangu trh 1 dec Click to expand... we unafanya post gan? me niliaply preventive assistant vp washaanza
Jumanho said: Mi nimeshaanza kazi TRA tangu trh 1 dec Click to expand... we unafanya post gan? me niliaply preventive assistant vp washaanza
S sirmudy JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 386 Reaction score 119 Dec 8, 2011 #6 Jumanho said: Mi nimeshaanza kazi TRA tangu trh 1 dec Click to expand... labda uko field..., lkn nasikia jamaa wataitwa baada ya miezi sita....., sio jokes ni reliable info
Jumanho said: Mi nimeshaanza kazi TRA tangu trh 1 dec Click to expand... labda uko field..., lkn nasikia jamaa wataitwa baada ya miezi sita....., sio jokes ni reliable info
SUPERUSER JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 960 Reaction score 307 Dec 8, 2011 #7 miezi 6?..duh :shock:
T TONGINDI Senior Member Joined Nov 23, 2011 Posts 174 Reaction score 32 Dec 9, 2011 #8 kha miezi 6! au kuna uchakachuaji nini?
M mswazi Member Joined Nov 18, 2007 Posts 25 Reaction score 2 Dec 10, 2011 #9 Basic salary laki 8, safari hakuna, nendeni mkale rushwa ili muishi.
M mswazi Member Joined Nov 18, 2007 Posts 25 Reaction score 2 Dec 10, 2011 #10 Basic salary laki 8, safari hakuna, nendeni mkale rushwa ili muishi.mshkaji wangu ametema nafasi za it baada ya kusikia hiyo salary
Basic salary laki 8, safari hakuna, nendeni mkale rushwa ili muishi.mshkaji wangu ametema nafasi za it baada ya kusikia hiyo salary
T TONGINDI Senior Member Joined Nov 23, 2011 Posts 174 Reaction score 32 Dec 10, 2011 #11 weee acha masihala mshahara laki 8, una ushaidi? au inaleta mambo ya ccm?
neyl Senior Member Joined Nov 23, 2011 Posts 127 Reaction score 19 Dec 10, 2011 Thread starter #12 jaman iv swala ni mshahara au matokeo watu wameitwa tayari kuanza job au bado?
SUPERUSER JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 960 Reaction score 307 Dec 12, 2011 #13 i think laki 8 kwa kuanzia sio mbaya esp in a govt office