Tra updates

Tra updates

neyl

Senior Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
127
Reaction score
19
mornie! jaman mwenye updates khs intavyu zlizofanywa TRA
 
kaka kwa kawaida tra wanachelewa kidogo kuita watu kazini kwa hiyo kuwa mpole mambo bado.
 
dah bora umeuliza...............coz me nilishakata tamaa

naomba pia niulize kwani wanahitaji watu wangapi maana lile kundi duh !!!
 
Basic salary laki 8, safari hakuna, nendeni mkale rushwa ili muishi.
 
Basic salary laki 8, safari hakuna, nendeni mkale rushwa ili muishi.mshkaji wangu ametema nafasi za it baada ya kusikia hiyo salary
 
weee acha masihala mshahara laki 8, una ushaidi? au inaleta mambo ya ccm?
 
jaman iv swala ni mshahara au matokeo watu wameitwa tayari kuanza job au bado?
 
i think laki 8 kwa kuanzia sio mbaya esp in a govt office
 
Back
Top Bottom