KERO Responded TRA waboreshe Kitengo cha “Customer Care”, siyo kila kitu hadi kwenda ofisini kwao

KERO Responded TRA waboreshe Kitengo cha “Customer Care”, siyo kila kitu hadi kwenda ofisini kwao

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kila Kitengo pale TRA kinatakiwa kuwa na customer care yake kama haiwezekani hivyo basi wagawe majukumu hata kidogo, wasiwe general tu or else wapewe authority ya kila kitu kwenye this new system.

Nilikuwa na shida ya kupata access ya kuomba remission kwenye mfumo ambao hauniletei data ambazo tayari nime-submit, kila nikipiga simu naambiwa subiri kwa saa mbili then hawakurudii.

Hapo ni hizi ofisi zao za Dar es Salaam na sometimes hawapokei simu kabisa, kabisa yaani small problem ambayo inawezekana through phone wao wanataka till uende ofisi zao, sasa wamewekwa customer care kwa ajili ya nini?

Tegeta, Mwenge - Tegeta na Mwenge yaaaan hawa ndio kabisa hawashiki simu.

Majibu kutoka TRA: Mrejesho kuhusu huduma ya kituo cha wateja
 
Back
Top Bottom