The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Mchambuzi wa Odds 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.Mfano nauza odds za mechi, watanisajili kama nani ?
Hata harusi nazo zianze kutozwa kodiKuna hawa wanaocheza michezo kwenye groups za whatsp mchezo mpaka milio Mia hawa wanatakiwa walipe kodi nzuri Michezo mingi kwenye group ina pesa lakini hawalipi kodi pamoja na kuhujumu bank kutunza pesa hawana vibali wanazungusha pesa kodi hawalipi groups sijsajiliwe zilipe kodi serikalini
sidhaniHivi na wale wa Forex wanalipa kodi?
Yes kuna group za harusi zinafikisha hata Mia tano familia zile zenye vipato vikubwa na na Marafiki wazito hiyo pesa ndogo kwa nini isikatwe kodi 8%tu ya hiyo pesaHata harusi nazo zianze kutozwa kodi
Kama Kodi mbona inakatwa kitambo.Wanaosponsor ads mtandaoni wamefikiwa.
Mnaminywa kulipa kodi halafu mama yenu anagawa kodi zenu bilioni ili kutafuta sifa kwa wafuasi wa vilabu vya mpira , halafu bibi yako kijijini anaenda kituo cha afya kupata huduma anaambiwa kitua cha afya hakina dawa akanunue duka la dawa, nchi mavi kabisa hii halafu kuna wajinga bado wanatetea maraisi wasio jua vipaumbele na mahitaji ya wananchi waendelee kubaki madarakani kwa upambe bila tafakar.Hawa ni wahujumu uchumi namwagiza Mulilo na jeshi lake wawakamate mara moja
WingaKama unauza mayai kutoka kwenye fremu na unalipa kodi ila unatangaza mayai yako mtandaoni,unakuwa upo upande gani?
Naona umenikimbia😊Tunaomba ndugu wananchi mlipe kodi, pesa nyingi tumetoa zawadi kwa wananchi kwaajili ya uchaguzi. Machawa wameleta vikundi vyenye majina mengi, wote wanahitaji mamilioni ya fedha kuviendesha, bado wasanii chawa nao wana makundi tumewapa magari, fedha. Pamoja tunajenga Taifa. Mama kawafikia 😊😊😊
Huko kuna tax Holidays za kutosha. Huku kwengine kodi inalipwa kabla hata biashara haijaanza!Washindwe kukusanya kodi katika madinin. n.k waje wasubirie online aaah