DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
AhaaaHuko kuna tax Holidays za kutosha. Huku kwengine kodi inalipwa kabla hata biashara haijaanza!

Kama unauza mayai kutoka kwenye fremu na unalipa kodi ila unatangaza mayai yako mtandaoni,unakuwa upo upande gani?
Mitandao si imefungiwa?View attachment 3417137
WANAOFANYA BIASHARA MTANDAONI BILA KUJISAJILI TRA WAPEWA MWEZI MMOJA KUJISAJILI
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa mitandaoni ambao hawajajisajili na TRA kujisajili mara moja ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Ameyasema hayo wakati akizindua rasmi utekelezaji wa makubaliano ya ushirikiano (MoU) kati ya TRA na Shirika la Kimataifa linashughulika na masuala ya Kodi (IBFD) ambao umefanyika katika Chuo cha Kodi (ITA) jijini Dar es Salaam Leo tarehe 24.07.2025.
Kamishna Mkuu Mwenda amesema wametoa mwezi mmoja kuanzia Agosti Mosi mpaka Agosti 31.2025 wafanyabiashara wote wanaoendesha shughuli zao mtandaoni wajisajili TRA ili waanze kuchangia katika kulipa Kodi wakiwemo wenye nyumba wanaopangisha nyumba zao kutumia Air BNB na hawalipi kodi.
Amesema watakaoshindwa kutekeleza agizo hilo la kujisajili ndani ya kipindi cha mwezi mmoja watachukuliwa hatua ikiwemo kutozwa faini maana hawajasamehewa kulipa kodi hiyo wakiwemo wale wanaouza vitu mbalimbali mtandaoni bila kulipa kodi kwani wanavunja sheria kwa kutokulipa kodi hiyo.
“Kuanzia Agosti Mosi tutakuwa na kampeni kubwa ya kuhakikisha kila anayefanya biashara ya kupangisha nyumba kupitia mtandao anasajiliwa na kulipa Kodi pamoja na watu wanaofanya biashara mtandaoni ambao kipato chao kinazidi Sh. 4,000,000 kwa mwaka nao watatakiwa kulipa Kodi na kila mmoja atalipa kutokana na kipato chake” amesema Mwenda.
Kamishna Mkuu Mwenda ametoa wito kwa yeyote mwenye taarifa za watu wanaofanya biashara mtandaoni kuziwasilisha TRA na kuwa zipo njia nyingi za kuwabaini watu ambao hawalipi kodi hata kama wanafanya biashara mtandaoni na risiti zitatolewa kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wa VFD.
Amesema ufuatiliaji wa biashara mtandao utawezeshwa na mafunzo ambayo watumishi wa TRA wamepatiwa kwa ushirikiano na IBFD kwa udhamini wa Serikali ya Uholanzi na kubainisha kuwa makampuni yaliyowekeza nchini na kujihusisha na ukwepaji wa kodi yatafikiwa.
Mwenda amesema Serikali ya Tanzania imefungua milango ya uwekezaji ambapo makampuni mengi yanakuja kuwekeza hivyo yanao wajibu wa kulipa Kodi kwa Mujibu wa sheria.
Mfanyabiashara wa mtandaoni ni naniView attachment 3417137

Hao watu sijui wanafikiria kwa kutumia nini?Kama unauza mayai kutoka kwenye fremu na unalipa kodi ila unatangaza mayai yako mtandaoni,unakuwa upo upande gani?
We baba mchawi nini?Kuna hawa wanaocheza michezo kwenye groups za whatsp mchezo mpaka milio Mia hawa wanatakiwa walipe kodi nzuri Michezo mingi kwenye group ina pesa lakini hawalipi kodi pamoja na kuhujumu bank kutunza pesa hawana vibali wanazungusha pesa kodi hawalipi groups sijsajiliwe zilipe kodi serikalini
Acha uongo mbona mm ninayo bikra hahah, ila mpaka December tutaona mauzauza hahahah, mara waandishi wasiowataalam kina Dina mario, Kipanya na wengine wengi kufungiwa, hapa mpaka December tutaona mauzauza jaman hahahPesa imekuwa Adimu mtaan wakuu km kuipata bikra Kwa changu...🤔
Mtuhurumie na cc wengine 😀
Yaan na sisi mawinga sijui itakuwaje jaman dohKama biashara yako Iko X au twitter, haiwezekani!
Haipatikani mpaka VPN!
Hawa TRA Tanzania walifikirie hili kwanza.
Walipe kodi kwa uzalishaji gan walio nao zaid ya kuchanganya pesa zao na kuzigawana tena😅Kuna hawa wanaocheza michezo kwenye groups za whatsp mchezo mpaka milio Mia hawa wanatakiwa walipe kodi nzuri Michezo mingi kwenye group ina pesa lakini hawalipi kodi pamoja na kuhujumu bank kutunza pesa hawana vibali wanazungusha pesa kodi hawalipi groups sijsajiliwe zilipe kodi serikalini
Winga analipa au halipi?W
Winga
Tuna watu wa ajabu sanaHao watu sijui wanafikiria kwa kutumia nini?
Anakata Kila jina 20k kwa huduma piga mara majina 100Walipe kodi kwa uzalishaji gan walio nao zaid ya kuchanganya pesa zao na kuzigawana tena😅
Huo bado ni Mchezo sio BiasharaAnakata Kila jina 20k kwa huduma piga mara majina 100
Unafikiri kilichowakimbiza UBER ni nini?? Kodi mzee BOLT na UBER wanagongwa kodi tena kubwa mnoo yani zamani ilikua 10% LATRA na TRA wakaongeza mpaka 15 to 20% Uber yakawashinda wakatupa taulo wakamuachia BOLTHivi bolt wanalipa kodi?
Hizo kodi zao za kijinga, ndio km zile unalipia bandarini ushuru kisha unaulipia tena dukani mzigo huo huo mmoja..!!Tuna watu wa ajabu sana