TRA: Wafanyabiashara wa Mitandaoni mjisajili Ndani ya Mwezi Mmoja!

Mitandao si imefungiwa?
 
Mfanyabiashara wa mtandaoni ni nani
 
We baba mchawi nini?
 
Pesa imekuwa Adimu mtaan wakuu km kuipata bikra Kwa changu...🤔

Mtuhurumie na cc wengine 😀
Acha uongo mbona mm ninayo bikra hahah, ila mpaka December tutaona mauzauza hahahah, mara waandishi wasiowataalam kina Dina mario, Kipanya na wengine wengi kufungiwa, hapa mpaka December tutaona mauzauza jaman hahah
 
Naona hapa ndio wanatuongezea morari ya kudai reform, kazaneni kabisa kutubana sisi MAWINGA hatutakubali tufe njaaa mxiuuuu
 
Walipe kodi kwa uzalishaji gan walio nao zaid ya kuchanganya pesa zao na kuzigawana tena😅
 
Nchi imejaa vituko na viongozi wa kukurupuka tu bila hata kuweka mazingira ya kuwezesha kukusanya kodi.
Mitandao inayotumiwa ya wafanyabiashara mitandaoni kama Twitter X Serikali makini imeifungia au imepunguza kasi yake ili wakosoaji wasiweze kumtonya mfalme aliyekaa uchi......
Huku TRA bila hata kuikosoa TCRA kwa kutumika kisiasa, wanakuja na "Ultimatum" ya mwezi mmoja wafanyabiashara wawe wamejisajili.... Mambo ya mashine za TRA zimeishasahaulika nadhani. Kazi kweli kweli..😲😳
 
Wako tayari kulipa fidia endapo watazima mitandao kikora kwa mambo yao ya kipuuzi siasani? Wakizima mitandao wadaiwe fidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…