Mzungu hawawezi mfungia,wanajichekesha kwake wanaishia yes sir, no,of courseHivi TRA mnapowafungia watu maduka na offisi zao , watapata wapi pesa za kulipa hizo kodi za serekali?
Maana nimepita juzi na Jana mitaa ya Buguruni nimekuta frem kibao karibia mtaa wote kule Buguruni kwa mnyamani frem zote zimefungwa kuuliza naambiwa TRA wamefunga kisa kisa kodi na mashine za EFD.
TRA kaeni na wafanya biashara hasa Hawa wadogo wadogo muwape elimu ya mlipa kodi , kuwafaungia sio suluhisho maana hizo kodi mnazotaka walipe wanazipata kupitia hayo hayo maduka mliyowafungia.
Hayo ni maoni yangu tu.
Nikisema weww ni mwehu utakataaa mzee wangu kweli?Uingereza kosa la kushindwa, kuchelewa au kukwepa kulipa Kodi ni kifungo cha hatar, Tanzania kinachofanywa na TRA ni huruma Sana dhidi ya wafanyabiashara nchi haiendeshwi Kwa msamaha WA Kodi au kuchukulia poa suala la Kodi, Ripa Kodi Kwa maendeleo ya Taifa lako.
Tena ndio kipindi ambacho kila mwezi TRA walikuwa wanavunja records zao wenyewe kwa kukusanya zaidiEnzi za awamu ya tano hatukuyaona haya.
Na ukakubali kudanganywa?Tena ndio kipindi ambacho kila mwezi TRA walikuwa wanavunja records zao wenyewe kwa kukusanya zaidi