sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Hivi TRA mnapowafungia watu maduka na offisi zao , watapata wapi pesa za kulipa hizo kodi za serekali?
Maana nimepita juzi na Jana mitaa ya Buguruni nimekuta frem kibao karibia mtaa wote kule Buguruni kwa mnyamani frem zote zimefungwa kuuliza naambiwa TRA wamefunga kisa kisa kodi na mashine za EFD.
TRA kaeni na wafanya biashara hasa Hawa wadogo wadogo muwape elimu ya mlipa kodi , kuwafaungia sio suluhisho maana hizo kodi mnazotaka walipe wanazipata kupitia hayo hayo maduka mliyowafungia.
Hayo ni maoni yangu tu.