TRA wagoma kufungua ofisi Vingunguti

Jemima Jackson

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
748
Reaction score
934
TRA Tanzania wagoma kufungua office za Vingunguti, wananchi wataka kuvunja mlango na kulazimisha wahudumiwe. Hadi muda huu milango imefungwa, walipa kodi wako nje na wengine wameamua kuondoka zao.
 
Kwa kuwakomoa ni hao walipa kodi wanye na kutapanya marvey kila mahali kama yule mama bonge wa vipodozi kariako aliungua uso akikukopesha vipoz hushindwe kumlipa anakuja mbele ya fremu yako na kuanza kuvua chupi na kunya unajikuta tu unamwahi kumlipa.

Katumia sana iyo strategy ya kunya kulipwa madeni yake
 
Tumia busara kuwasiliana nao.labda kuna jambo la dharura au kikao nyeti
 
Aisee
 
mama Bonge nomaπŸ˜‚πŸ˜…
 
Tumia busara kuwasiliana nao.labda kuna jambo la dharura au kikao nyeti
vikao huwa vinafanyika muda ambao si wa kazi.huwezi kupoteza mapato kwa ajili ya vikao kwanza ni kuwapotezea muda wafanyabiashara.vikao mara nyingi huwa vinapoteza muda wa kufanya kazi.
 
vikao huwa vinafanyika muda ambao si wa kazi.huwezi kupoteza mapato kwa ajili ya vikao kwanza ni kuwapotezea muda wafanyabiashara.vikao mara nyingi huwa vinapoteza muda wa kufanya kazi.
Wabongo kwa ulalamishi sijui nani kawaroga!! Hivi kama mle ndani kuna tatizo linatatuliwa mnataka muingie kukaa tu?

Watu wenyewe hata kulipa Kodi mpaka msukumwe, tuondoleeni hapa Umbea wenu. Haya hata hiyo picha ya mlango umefungwa hamuwezi kupiga?
 
Na akinya marvey yule mama si chini ya Tani tatu
 
Oyooo oyoooo mwendo wakusagiana kunguni tu kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…