inshu kama kuna tatizo wawaeleze wadau na siyo kujifungia ndani.hali kama hiyo huwezi kuikuta kwenye nchi za wenzetu.tatizo nchi hii mifumo iliishaharibika ndo maana JPM alikuwa anafanya kwa kadili alivyokuwa anafikiri sababu watz vichwa vyetu pia ni vibovu.Wabongo kwa ulalamishi sijui nani kawaroga!! Hivi kama mle ndani kuna tatizo linatatuliwa mnataka muingie kukaa tu?
Watu wenyewe hata kulipa Kodi mpaka msukumwe, tuondoleeni hapa Umbea wenu. Haya hata hiyo picha ya mlango umefungwa hamuwezi kupiga?