inshu kama kuna tatizo wawaeleze wadau na siyo kujifungia ndani.hali kama hiyo huwezi kuikuta kwenye nchi za wenzetu.tatizo nchi hii mifumo iliishaharibika ndo maana JPM alikuwa anafanya kwa kadili alivyokuwa anafikiri sababu watz vichwa vyetu pia ni vibovu.Wabongo kwa ulalamishi sijui nani kawaroga!! Hivi kama mle ndani kuna tatizo linatatuliwa mnataka muingie kukaa tu?
Watu wenyewe hata kulipa Kodi mpaka msukumwe, tuondoleeni hapa Umbea wenu. Haya hata hiyo picha ya mlango umefungwa hamuwezi kupiga?
Yani ndo hapo sasa serikali inabidi ichangamkie fursa. Wataalam wanadai marvey ya binadamu ni nishati bora sana. Na mimama minene kama hii inayokunya tani za kutosha za marvey ni national assets na treasure. Ni kuyakusanya na kuyamobilise na kuyapa target za marvey watakazokunya kwa siku ili tuwe na umeme wa uhakika usiokatika.Na akinya marvey yule mama si chini ya Tani tatu
Labda wanalipiza zile spana walizopigwa na wafanyabiashara pale kariakoo.TRA Tanzania wagoma kufungua office za Vingunguti, wananchi wataka kuvunja mlango na kulazimisha wahudumiwe. Hadi muda huu milango imefungwa, walipa kodi wako nje na wengine wameamua kuondoka zao.
Mishahara mpaka muda huu haijalipwa. Unategemea nini hapoTRA Tanzania wagoma kufungua office za Vingunguti, wananchi wataka kuvunja mlango na kulazimisha wahudumiwe. Hadi muda huu milango imefungwa, walipa kodi wako nje na wengine wameamua kuondoka zao.
Unataka kulipa Kodi au kuna mshikaji hapo ndani unataka akutoe hela ya supu?
Sisi walipa kodo inatuhusu nini?Mishahara mpaka muda huu haijalipwa. Unategemea nini hapo
Inaonyesha kama TRA hawana tatizo na wala Wafanyabiashara nao pia hawana tatizo. Possibly tunatakiwa kum-identify tu mtu anayewagonganisha TRA na Wafanyabiashara, kama yupoTRA Tanzania wagoma kufungua office za Vingunguti, wananchi wataka kuvunja mlango na kulazimisha wahudumiwe. Hadi muda huu milango imefungwa, walipa kodi wako nje na wengine wameamua kuondoka zao.
Ustaarabu ni kutoa taarifa, unless wote wamepata tatizoWabongo kwa ulalamishi sijui nani kawaroga!! Hivi kama mle ndani kuna tatizo linatatuliwa mnataka muingie kukaa tu?
Watu wenyewe hata kulipa Kodi mpaka msukumwe, tuondoleeni hapa Umbea wenu. Haya hata hiyo picha ya mlango umefungwa hamuwezi kupiga?
Bongo kilakitu tabu usipolipa kodi tabu ukisema ukalipe bila shuruti tabu bado lipoti ya CAG anatuambia hicho kipesa choko ulokilipa kwambinde wajanja wamelala nacho mbele.Inaonyesha kama TRA hawana tatizo na wala Wafanyabiashara nao pia hawana tatizo. Possibly tunatakiwa kum-identify tu mtu anayewagonganisha TRA na Wafanyabiashara, kama yupo
Wanakosea sana.Sisi walipa kodo inatuhusu nini?