TRA waibuka na elimu kwa njia ya mtandao

TRA waibuka na elimu kwa njia ya mtandao

tripleec

Senior Member
Joined
Oct 19, 2022
Posts
169
Reaction score
159
Naomna mamlaka ya mapato Tanzania wamekuja na mkakati wa kuelimisha kwa njia ya mtandao kama tangazo hapo juu lilivyojielekeza


( Join conversation )
TANGAZO LA TRA.jpeg
 
Kama wameboresha efilling itakuwa jambo jema sana.

Sijawahi kuona mfumo wa hovyo na m,bovu kama ule aisee,unaweza shinda siku nzima unahangaika ku log in tu.

Na ukichelewa kufile ni penalties unapigwa.
 
Back
Top Bottom