tripleec Senior Member Joined Oct 19, 2022 Posts 169 Reaction score 159 Jan 24, 2023 #1 Naomna mamlaka ya mapato Tanzania wamekuja na mkakati wa kuelimisha kwa njia ya mtandao kama tangazo hapo juu lilivyojielekeza ( Join conversation )
Naomna mamlaka ya mapato Tanzania wamekuja na mkakati wa kuelimisha kwa njia ya mtandao kama tangazo hapo juu lilivyojielekeza ( Join conversation )
tripleec Senior Member Joined Oct 19, 2022 Posts 169 Reaction score 159 Jan 24, 2023 Thread starter #2 ( Join conversation )
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jan 24, 2023 #3 Ile ya zawadi kwa watakaodai risiti iliishia wapi?[emoji848][emoji2827]
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,152 Reaction score 9,206 Jan 24, 2023 #4 Kama wameboresha efilling itakuwa jambo jema sana. Sijawahi kuona mfumo wa hovyo na m,bovu kama ule aisee,unaweza shinda siku nzima unahangaika ku log in tu. Na ukichelewa kufile ni penalties unapigwa.
Kama wameboresha efilling itakuwa jambo jema sana. Sijawahi kuona mfumo wa hovyo na m,bovu kama ule aisee,unaweza shinda siku nzima unahangaika ku log in tu. Na ukichelewa kufile ni penalties unapigwa.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 24, 2023 #5 Ni jambo jema