Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Taasisi yenye kujielewa imeamua toa ukweli hongereni TRA kwa kuweka ukweli hadharani maana tungeshangaa kama ingekuwa kweli kwa tasisi kubwa kama hii. Nadhani kuna mtu alitaka wachafua au mchafua kiongozi wenu.Michadema ya JF ni wazushi hakuna mfano
Hivi huu uongo mnaotunga mnapata faida gani?Lawson wenyewe "nasikia" "umesizi" madaraja ya watumishi mjiandae kucheleweshwa kwa namna moja ama nyingine kama kweli taarifa hiyo ya mfumo kushindwa kufanya kazi ni sahihi
Tuendelee kuipenda tz yetu. Thibitisha kama huo ni uongoHivi huu uongo mnaotunga mnapata faida gani?
HahahNguvu ya uzushi. Ova