DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Mfano Mimi nina biashara yangu ambayo inalipa kodi TRA. Ila pia ninamiliki Account za mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara yangu hiyohiyo ambayo inalipa kodi TRA.
Je, mkisema wafanyabiashara wa mitandaoni mmelenga nani hasa? Tujaribu kuwa wabunifu wa kuangalia njia sahihi za kupata kodi.
Je, mkisema wafanyabiashara wa mitandaoni mmelenga nani hasa? Tujaribu kuwa wabunifu wa kuangalia njia sahihi za kupata kodi.