Mfano kama mwanadamu yeyote yule,umepoteza copies,inakuaje?
Maana copy za hesabu sometimes wakati wa kwenda kuomba leseni mbalimbali wanazitaka,umezitumia zote zimeisha,huna copy,wanakufanyeje?
Kumbuka huyu mtu kaandika mahesabu kakaguliwa na kwenye system ni "closed",what do you say?
Na kingine tuelewane,watanzania wanatakiwa waelewe,serikali sio watanzania,mtanzania yeyote anatakiwa awe upande wa mtanzania mwenzake na sio upande wa serikali right or wrong!
Cha ajabu snitches ni all over the place..sijui serikali ilishawahi wasaidia nini wakati huyo mtanzania mwenzako anakupa ajira,siku huna nyanya unaweza enda mkopa,etc...serikali hivi ilishawahi kujua wanao wameshinda njaa or anything?