Wanasena ni Investigation ya kawaidaWaambie hamtunzi vitabu zaidi ya miaka mitano nyuma. Halafu uwaulize sababu za msingi za examination kwa miaka mingi hivyo ni nn? Tumieni mwanasheria na mtaalam wa kodi kinyume na hapo kama kuna makosa nyuma interest na penalties mtakazolipa zitakuwa kubwa mno.
tii sheria bila kushurutishwa! Kuna mawili wanaweza wakawa wamekutoza kodi zaidi, huoni kama watakurudishia? Na kama umelipa kidogo utalipa balance pia! Usijaribu kuhonga! kulipa kodi stahiki ni jukumu na uzalendo mkuu!Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini?
Mi najua sheria ni miaka mitando nyuma.
Wataalamu tuelimishane, maana nibampango wa kuwabishia wakija kukagua.
Kwa uelewa wangu upo sawa. Audit ikishafungwa kwenye system hawatakiwi kurudi nyuma ila wanapaswa waendelee pale wenzao walipo ishia.Mfano kama mwanadamu yeyote yule,umepoteza copies,inakuaje?
Maana copy za hesabu sometimes wakati wa kwenda kuomba leseni mbalimbali wanazitaka,umezitumia zote zimeisha,huna copy,wanakufanyeje?
Kumbuka huyu mtu kaandika mahesabu kakaguliwa na kwenye system ni "closed",what do you say?
Na kingine tuelewane,watanzania wanatakiwa waelewe,serikali sio watanzania,mtanzania yeyote anatakiwa awe upande wa mtanzania mwenzake na sio upande wa serikali right or wrong!
Cha ajabu snitches ni all over the place..sijui serikali ilishawahi wasaidia nini wakati huyo mtanzania mwenzako anakupa ajira,siku huna nyanya unaweza enda mkopa,etc...serikali hivi ilishawahi kujua wanao wameshinda njaa or anything?
mleta uzi amesema ni investigation sio examination.Waambie hamtunzi vitabu zaidi ya miaka mitano nyuma. Halafu uwaulize sababu za msingi za examination kwa miaka mingi hivyo ni nn? Tumieni mwanasheria na mtaalam wa kodi kinyume na hapo kama kuna makosa nyuma interest na penalties mtakazolipa zitakuwa kubwa mno.
Sasa investigation ya kawaida walikuwa wapi wasiifanye tangu 2012? Tumieni mwanasheria, bora mumlipe mtu kuliko yatakayowakuta endapo kuna human errors kwenye hesabu au kama kuna malipo hayakufanyika.Wanasena ni Investigation ya kawaida
Ni sheria gani inasema hivi? Unaweza ukaweka kifungu ili na sisi tusome?Shida iko wapi hapo, si rekodi zinatakiwa za miaka kumi kurudi nyuma. Hapo hata kumi hamjafika (12-21)
hiyo ni investigation na wala sio audit. investigation inarudi hata miaka 30 nyumaKwa uelewa wangu upo sawa. Audit ikishafungwa kwenye system hawatakiwi kurudi nyuma ila wanapaswa waendelee pale wenzao walipo ishia.
Well basically wakisema evidence ni receipt book ya manunuzi na mauzo;Mfano kama mwanadamu yeyote yule,umepoteza copies,inakuaje?
Maana copy za hesabu sometimes wakati wa kwenda kuomba leseni mbalimbali wanazitaka,umezitumia zote zimeisha,huna copy,wanakufanyeje?
Kumbuka huyu mtu kaandika mahesabu kakaguliwa na kwenye system ni "closed",what do you say?
Na kingine tuelewane,watanzania wanatakiwa waelewe,serikali sio watanzania,mtanzania yeyote anatakiwa awe upande wa mtanzania mwenzake na sio upande wa serikali right or wrong!
Cha ajabu snitches ni all over the place..sijui serikali ilishawahi wasaidia nini wakati huyo mtanzania mwenzako anakupa ajira,siku huna nyanya unaweza enda mkopa,etc...serikali hivi ilishawahi kujua wanao wameshinda njaa or anything?
Ooh, asante kwa alert...basi ss kuna tatizo kumbe, maana tax investigation ni audit hiyo. Huenda wanahisi wamekwepa kodi au wana ujanja ujanja. Hakunaga investigation ya kawaida hiyo ni special audit. Still wanahitaji mtaalam wa kodi na mwanasheria kuwajibia.mleta uzi amesema ni investigation sio examination.
Kwanza nikuulize, umewahi kushabikia kesi ya Mbowe?Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini?
Mi najua sheria ni miaka mitando nyuma.
Wataalamu tuelimishane, maana nibampango wa kuwabishia wakija kukagua.
investigation inafanyika pale inapobainika kuna kosa la jinai. ikitokea imebainika kuna jinai imefanyika hata kama ni miaka 100 watafanya investigation tu. cha muhimu ni kuwapa ushirikiano.Sasa investigation ya kawaida walikuwa wapi wasiifanye tangu 2012? Tumieni mwanasheria, bora mumlipe mtu kuliko yatakayowakuta endapo kuna human errors kwenye hesabu au kama kuna malipo hayakufanyika.
Hawa huwa joblessSnitch bana
Hapo umefurahii mamaeeee
I really wonder how a human being yupo mstari wa mbele kuisaidia serikali chochote kile kuonea human beings wengine kama yeye?
Upo sahihi.investigation inafanyika pale inapobainika kuna kosa la jinai. ikitokea imebainika kuna jinai imefanyika hata kama ni miaka 100 watafanya investigation tu. cha muhimu ni kuwapa ushirikiano.
TRA ina aina tatu tofauti za ukaguzi wa kodi.. kuna examination, audit na investigation. mtu unaweza kufanyiwa examination na bado ukafanyiwa tena audit na baadae muda umepita unashangaa unafanyiwa investigation kwa kesi ileileOoh, asante kwa alert...basi ss kuna tatizo kumbe, maana tax investigation ni audit hiyo. Huenda wanahisi wamekwepa kodi au mna ujanja ujanja. Hakunaga investigation ya kawaida hiyo ni special audit. Still wanahitaji mtaalam wa kodi na mwanasheria.
kushindana na TRA si jambo dogo, cha msingi wakae meza moja wayaone mapungufu yatakayojitokeza kwenye hiyo miaka kisha wayamalize yanajadilika hayo. Kwanza wawape info zote wanazohitaji hao mabwana then mapungufu yatakayojitokeza wakae mezani - yanajadilika tu.Sasa investigation ya kawaida walikuwa wapi wasiifanye tangu 2012? Tumieni mwanasheria, bora mumlipe mtu kuliko yatakayowakuta endapo kuna human errors kwenye hesabu au kama kuna malipo hayakufanyika.
Unataka kunambia ukilipa zaidi wanakurudishia??tii sheria bila kushurutishwa! Kuna mawili wanaweza wakawa wamekutoza kodi zaidi, huoni kama watakurudishia? Na kama umelipa kidogo utalipa balance pia! Usijaribu kuhonga!
Watanzania huwa hatupendi kutumia wataalamu. Kuna watu wako tayari kujenga nyumba ya 300mil lakini hawapo tayari kumlipa injinia 5mil ili asimamie kazi yake.Ooh, asante kwa alert...basi ss kuna tatizo kumbe, maana tax investigation ni audit hiyo. Huenda wanahisi wamekwepa kodi au wana ujanja ujanja. Hakunaga investigation ya kawaida hiyo ni special audit. Still wanahitaji mtaalam wa kodi na mwanasheria kuwajibia.
Kwa kuongezea kama alikua anakosoa serikali basi auondoe kabisa app ya jfKwanza nikuulize, umewahi kushabikia kesi ya Mbowe?