TRA wamekuja ofisini kwetu wakitaka kukagua hesabu za 2012 Hadi 2017

TRA wamekuja ofisini kwetu wakitaka kukagua hesabu za 2012 Hadi 2017

Tax investigation is different from tax audit, normally, when investigation is carried out into your tax affairs, there is enough evidences of tax evasion, either obtained from within or other stakeholders. Once there is suspicion of fraud, there is no time limit, the investigation scope becomes wider. Sijui unanielewa? Hapa hakuna kuviziana. weka kumbukumbu, produce them on demand basi.

Watanzania wengi hawapendi kujishughulisha kuyaelewa maswala ya kodi, ni ujuaji tu. someni sheria za kodi zipo kwenye mtandao wao.
Nakushauri next time unashida ya kikodi, do not seek advice from social media, tafuta a knowledgeable person or go to TRA uelekezwe. Kwenye social utakutana washauri vichefuchefu.
The term scope if you know auditing sums it up.

Uwezi kufanya tax investigation without auditing the records and scope refers to amount of records material you want to check, transactions and so forth basically that’s auditing.
 
Magu mwenyewe aligoma kabisa wafanyabiashara kupewa VAT refunds zao,majuzi Kati tu hapa Samia ndio ame refund Tsh.500bil na bado Kuna tsh.300bil bado zinadaiwa.
VAT return is not up to Magufuli to decide its how the system works. VAT estimates for large organisation are based on previous year payment and are settled on accrual basis.

Kwa mtindo huo unaweza lipa zaidi kuliko actual sales kwa sababu unalipa in advance; at the end of the year if you overpaid unadai if you underpaid wanakudai. Sio swala la huruma ya mtu.

Good morning.
 
Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini?

Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma.

Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.

  • How is your bank account Kipindi hicho?
  • Viba mahusiano gani Na hesabu Zenu?
  • Mna matatatizo Na mwajiri wenu ambaye mmemfukuza?
  • Mpo Kwenye industry gani ya biashara?

Kama mpo sawa, just comply Na Hakuna Fujo yeyote, wala msitoe rushwa!

Watu wa TRA are not difficult to deal with, Ni majadiliano; Ila Kama mna uhalifu then hicho Ni kiama.
 
Waambieni n'a wao waje n'a documents waliokuwa wanawakagulia.

Japo maana ya neno TRA=Tanzania Rushwa Automatic.

khahahahaha
Katiba y'a mwaka 1977.Eti bado inakidhi matakwa ya 2020-........

Kipindi hicho nasikia kulikuwa n'a redio inaitwa MUNINGA, leo hii ipo SABUFA.
 
VAT return is not up to Magufuli to decide its how the system works. VAT estimates for large organisation are based on previous year payment and are settled on accrual basis.

Kwa mtindo huo unaweza lipa zaidi kuliko actual sales kwa sababu unalipa in advance; at the end of the year if you overpaid unadai if you underpaid wanakudai. Sio swala la huruma ya mtu.

Good morning.
Unajua VAT refunds zinakua zinatoka kwny mfuko gani?

Targets za TRA zilikua zikifikiwa na kupitiliza anasifiwa Magu lkn refunds zikigoma kutolewa Mnaambiwa msimlaumu Magu hahusiki 😄😄 ndio bongo yetu hio
 
  • How is your bank account Kipindi hicho?
  • Viba mahusiano gani Na hesabu Zenu?
  • Mna matatatizo Na mwajiri wenu ambaye mmemfukuza?
  • Mpo Kwenye industry gani ya biashara?

Kama mpo sawa, just comply Na Hakuna Fujo yeyote, wala msitoe rushwa!

Watu wa TRA are not difficult to deal with, Ni majadiliano; Ila Kama mna uhalifu then hicho Ni kiama.
Tushamalizana nao mkuu
 
Tofautisha capital allowance na depreciation.

In some instances capital allowances receive full investment re-claims from profits in one go, and not in chunks as in depreciation.

Tanzania sijaona maximum amount set to be claimed on capital allowances. Makes it very easy to abuse the tax system.
We ndio unachanganya mambo.Hapa tunaongelea Depreciable assets Sasa mambo ya depreciation yametoka wapi?
Huku Kuna kitu kinaitwa Tax depreciation= Capital allowance

Na Tz hakuna allowance ya 100% at a go,rate kubwa kwa Tz Ni 50% kwa mwaka wa kwanza nayo inafanyika kwa baadhi ya machinery,hotel za kitalii,shughuli za ufugaji samaki na miaka inayofuata tax depreciation inaendelea kufanyika Kwa normal rates kulingana na rates za pools husika.

So hicho unachokisema bongo hakipo.
 
Unajua VAT refunds zinakua zinatoka kwny mfuko gani?

Targets za TRA zilikua zikifikiwa na kupitiliza anasifiwa Magu lkn refunds zikigoma kutolewa Mnaambiwa msimlaumu Magu hahusiki 😄😄 ndio bongo yetu hio
Kama nilivyokwambia VAT return sio mtu ni sheria za kodi.

Kuchelewa kuwarudishia watu hela zao it has nothing to do na raisi yeyote hilo ni tatizo la either TRA au hadhina wanapopeleka pesa.

Otherwise VAT returns is based on amount paid earlier prior to final accounting period. Na hii kutokana na mfumo wa vat estimates na accrual system.

Nchi zingine kwa kuelewa ugumu advance payment na cash flow kwa biashara ndogo wanaruhusiwa kulipa cash vat unalipa kutokana na ulichouza kwanza.

Biashara kubwa ni accrual system unalipa kutokana na makadirio ya mwaka uliopita but then tunza kumbukumbu maana jamaa ukiwaongopea wakija mziki wake unakuwa mwingine kabisa.
 
What does the process of tax investigatation, entails?

Jibu: performing tax audit
Tax Investigation ni zaidi ya Tax audit, Investigation inahusisha mpk vitu Kama interrogation, sometimes inakua Ina watu mpk wa CFE(Certified Fraud Examiner) etc
 
Kama nilivyokwambia VAT return sio mtu ni sheria za kodi.

Kuchelewa kuwarudishia watu hela zao it has nothing to do na raisi yeyote hilo ni tatizo la either TRA au hadhina wanapopeleka pesa.

Otherwise VAT returns is based on amount paid earlier prior to final accounting period. Na hii kutokana na mfumo wa vat estimates na accrual system.

Nchi zingine kwa kuelewa ugumu advance payment na cash flow kwa biashara ndogo wanaruhusiwa kulipa cash vat unalipa kutokana na ulichouza kwanza.

Biashara kubwa ni accrual system unalipa kutokana na makadirio ya mwaka uliopita but then tunza kumbukumbu maana jamaa ukiwaongopea wakija mziki wake unakuwa mwingine kabisa.
Kama VAT return sio mtu then Target za TRA zilikua zikifikiwa anasifiwa Magu kwa sababu hizo Targets Ni mtu sio?
 
We ndio unachanganya mambo.Hapa tunaongelea Depreciable assets Sasa mambo ya depreciation yametoka wapi?
Huku Kuna kitu kinaitwa Tax depreciation= Capital allowance

Na Tz hakuna allowance ya 100% at a go,rate kubwa kwa Tz Ni 50% kwa mwaka wa kwanza nayo inafanyika kwa baadhi ya machinery,hotel za kitalii,shughuli za ufugaji samaki na miaka inayofuata tax depreciation inaendelea kufanyika Kwa normal rates kulingana na rates za pools husika.

So hicho unachokisema bongo hakipo.
Capital Allowance lengo ni ku encourage watu kuanzisha biashara or business to grow.

Sasa basi serikali inaweza sema kwa wafanyabiashara gharama za machinery, ma lorry ya biashara, daladala, mabasi ya mkoani, tractors, ‘fixtures and fittings’ and so forth necessary for running a business. Mtu yeyote anaweza claim let’s say serikali inaweza set up to 2 billion annually on capital allowance (example).

Maana yake nini wewe ukinunua vitu vinavyoruhusiwa kuombea capital allowance chini ya amount set, hizo expenses unazitoa baada ya net profit ndani ya mwaka husika. Ikizidi 2 billion the surplus can be reduced at a given rate (kind of depreciation approach) mwaka unaofuata ndio hizo rate unazoongelea wewe nadhani.

Kwanini kuna pool rates kwenye capital allowances kwa sababu sio kila kitu kinaruhusiwa kuwa claimed 100% kuna investment zingine zinakuwa reduced at given percentage ata kama biashara ndio imenunua. Somewhere kwenye website ya TRA you will get that information how items are classified.
 
Tax Investigation ni zaidi ya Tax audit, Investigation inahusisha mpk vitu Kama interrogation, sometimes inakua Ina watu mpk wa CFE(Certified Fraud Examiner) etc;
Sasa what do you think an audit entails?

An external auditor does all that and more kwenye kukagua Financial Statement. Anaweza mwita ata ex employee if its the person who can answer is query; that’s in just normal auditing.

Sasa mziki wa tax man ni kizaa zaa kingine kabisa, especially kama ujatunza records zako kwa muda sahihi.
 
Kama VAT return sio mtu then Target za TRA zilikua zikifikiwa anasifiwa Magu kwa sababu hizo Targets Ni mtu sio?
Anasifiwa kwa sababu aliwataka TRA kufanya kazi yao kwa weledi na sio ku-settle tax bills kwa malipo ya tsh 200m pembeni huku watu wakikwepa kuliba billions in taxes.
 
Sasa what do you think an audit entails?

An external auditor does all that and more kwenye kukagua Financial Statement. Anaweza mwita ata ex employee if its the person who can answer is query; that’s in just normal auditing.

Sasa mziki wa tax man ni kizaa zaa kingine kabisa, especially kama ujatunza records zako kwa muda sahihi.
Napoteza Muda tu hapa.
 
Anasifiwa kwa sababu aliwataka TRA kufanya kazi yao kwa weledi na sio ku-settle tax bills kwa malipo ya tsh 200m pembeni huku watu wakikwepa kuliba billions in taxes.
😄😄😄 aiseee.
 
Back
Top Bottom