TRA wamekuja ofisini kwetu wakitaka kukagua hesabu za 2012 Hadi 2017

Mkuu,Mimi nimefanya kazi na hao TRA,Tax Consultants na hao knowledgeable unao wataja na wengi wao hawakuwezi kuniepusha na tax errors.Kwa ufupi ni hivi.Kodi zipo kwa ajili ya kukwepwa na Mfanyabiashara mjanja na yule anayeweza tengeneza PESa nyingi na kulipa kodi kidogo kabisa.

Kutafuta ushauri kwenye social media kuna tofauti gani na kutafuta TRA au knowledgeable person?Au unafikiri kupata pia experience ya wengine sio knowledge?Au unafikiri hakuna watu knowledgeable huku mitandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…