TRA wamemtambua mwenye biashara ya saluni kama mlipa kodi!

TRA wamemtambua mwenye biashara ya saluni kama mlipa kodi!

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,327
Reaction score
4,624
Hii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona TRA wamemtambua kama mlipa kodi.

Screenshot_20240209_074010_SMS Organizer.png
 
Mapaka genge mbona anatakiwa kulipa Kodi? Ukitaka kustahajabu ya mussa,nenda portal ya tausi kila biashara ipo pale,ikimaanisha km biashara hii unatakiwa kuwa na leseni Basi ujue huwezi pata leseni bila kwenda tra
 
Hii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona TRA wamemtambua kama mlipa kodi.

View attachment 2898384
Tutafikatu kuna kitu naona pengine hujakiweka sawa pengine umeficha kwa kutojua au kusudi. Navyofahamu mimi na uelewa wangu mdogo huu huwezi lipa kodi hizo kama huna wafanyakazi ambao mshahara usiozidi 270,000 kwa mwezi na anayelipa ni
Hii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona TRA wamemtambua kama mlipa kodi.

View attachment 2898384
Tutafikatu kuna kitu naona pengine hujakiweka sawa pengine umeficha kwa kutojua au kusudi. Navyofahamu mimi na uelewa wangu mdogo huu huwezi lipa kodi hizo kama huna wafanyakazi ambao mshahara usiozidi 270,000 kwa mwezi na anayelipa ni hiyo sijui sdl ni mpaka wafanyakazi wawe 10 na kuendelea. Sasa inawezekana huyo ndugu yako akawa na saluni inawafanyakazi 10 na siyo lazima payee ilipwe ila kuonyesha hesabu ndiyo nilichokiona hapo kama viwango vya mishahara yao havijafika haimnaanishi kuna kodi ila taarifa za hesabu. Pili sdl nayo kama wafanyakazi wapo chini ya 10 hana wajibu. Sasa inawezekana pia huyo ndugu yako ana biashara zingine hajakuweka wazi mbali na saluni au TIN yake alimpa mtu kutumia maana michezo hii inafanyika.
 
Sasa ulitaka saluni zisilipe Kodi?Kati ya saluni na viduka vya Mangi Nan mwenye mapato kumzidi mwenziye?
 
Back
Top Bottom