tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Hiyo ni saloon au kuna kingine?Hii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona TRA wamemtambua kama mlipa kodi.View attachment 2898384
Tutafikatu kuna kitu naona pengine hujakiweka sawa pengine umeficha kwa kutojua au kusudi. Navyofahamu mimi na uelewa wangu mdogo huu huwezi lipa kodi hizo kama huna wafanyakazi ambao mshahara usiozidi 270,000 kwa mwezi na anayelipa niHii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona TRA wamemtambua kama mlipa kodi.
View attachment 2898384
Tutafikatu kuna kitu naona pengine hujakiweka sawa pengine umeficha kwa kutojua au kusudi. Navyofahamu mimi na uelewa wangu mdogo huu huwezi lipa kodi hizo kama huna wafanyakazi ambao mshahara usiozidi 270,000 kwa mwezi na anayelipa ni hiyo sijui sdl ni mpaka wafanyakazi wawe 10 na kuendelea. Sasa inawezekana huyo ndugu yako akawa na saluni inawafanyakazi 10 na siyo lazima payee ilipwe ila kuonyesha hesabu ndiyo nilichokiona hapo kama viwango vya mishahara yao havijafika haimnaanishi kuna kodi ila taarifa za hesabu. Pili sdl nayo kama wafanyakazi wapo chini ya 10 hana wajibu. Sasa inawezekana pia huyo ndugu yako ana biashara zingine hajakuweka wazi mbali na saluni au TIN yake alimpa mtu kutumia maana michezo hii inafanyika.Hii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona TRA wamemtambua kama mlipa kodi.
View attachment 2898384