Kuna simu nimeagza, imekuwa shipped na DHL, wamenipigia kuwa wamelipia kodi kwa hiyo wanavyokuja kuniletea niandae pesa ya kuwarefund (laki na ishirini), declared value ya hiyo parcel ni kama $116, naona hiyo charges ni kama 50%, ni kubwa mno! Kuna mtu yeyote anayeelewa customs huwa zinalipiwa asilimia ngapi?