TRA Wanacharge asilimia ngapi kuingiza simu?

TRA Wanacharge asilimia ngapi kuingiza simu?

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
3,714
Reaction score
2,376
Kuna simu nimeagza, imekuwa shipped na DHL, wamenipigia kuwa wamelipia kodi kwa hiyo wanavyokuja kuniletea niandae pesa ya kuwarefund (laki na ishirini), declared value ya hiyo parcel ni kama $116, naona hiyo charges ni kama 50%, ni kubwa mno! Kuna mtu yeyote anayeelewa customs huwa zinalipiwa asilimia ngapi?
 
Pole sana ndugu, kwa kawaida wanakata 18% ya gharama iliyoandikwa kwenye delivery ila wakijumlisha na other charges ndo zinafika huko.. Hata mimi niliwahi kununua bidhaa ya dola 130 nikalipa 100,000+ TRA.. Vumilia tu ndugu ila october 25 uwe makini unaposahihisha kura yako
 
Back
Top Bottom