TRA wananiambia niingie VAT

Condition za mtu kuwa VAT registered moja wapo ni kuwa na taxable supplies over 100m kwa miezi 12 mfululizo au over 50m kwa miez 6 mfululizo....vinginevyo labda ingekua exempted Supplies
Hii ya miezi 6 walizingua.
 
Kwani shida iko wapi kwani unapocalculate vat unakua hujajua faida yako nachojua VAT analipa mnunuaji we muuzaji unaisaidia TRA kuikusanya
Ukiwa hapo 2th floor kwenye kiti cha kuzunguka ndani ya kiyoyozi chini ume-park Subaru ya mkopo hesabu hizi unaziona nyepesi sana kiasi huwezi kuujua msoto anaoupata mfanyabiashara.

Ingia na wewe mtaani ukawakusanyie uone jinsi ilivyo rahisi.
 
Mimi kila mwaka navuka mil 100 mbali sana na sitoi risit mpk kwa mbinde [emoji23][emoji23] nachofanya kila mwaka duka lita tin mpya nishakusanya vitambulisho vya ndg kijijin karobia vyote kila mwaka nasajir tin mpya ikivuka 100 mwaka unaofata na mpya
Ile tin yangu nimeiweka kwenye biashara nyingine ndogo
 
Hisabati ni janga la Taifa.

Yaani unaposema laki 280,000 Tsh inakubidi uzidishe kwa laki 1 yaani 100,000 ama uongeze sufuri 5 ambapo inakuwa Shilingi 28,000,000,000.

Ujuaji mwingi kumbe kichwani upo mweupe wewe dagaa!,ni hivi unachukua 110000000 kisha unagawanya kwa 12 unapata milioni 9 kisha unagawanya kwa siku 30 ndio unapata wastani wa mauzo kwa siku pimbi wewe!
 
Ujuaji mwingi kumbe kichwani upo mweupe wewe dagaa!,ni hivi unachukua 110000000 kisha unagawanya kwa 12 unapata milioni 9 kisha unagawanya kwa siku 30 ndio unapata wastani wa mauzo kwa siku pimbi wewe!
Labda nabishana na kichaa!

Unajua maana ya laki 280 000 Tsh.?

Kwaheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…