TRA wananiambia niingie VAT

Mie naona kuwa kosa ni la kwako. Kwa mtaji wa 15m. Ukakimbilia kununua efd machine na kuanza kukata risiti. Wafanya biashara wa mtaji kama wako wako kwenye kundi la presumptive tax bao hawatoi efd risiti. Efd inataka mauzo ya 14m kwa mwaka. Naona uliamua kuwa mkweli kwa tra.
 

Hili ni kweli mkuu. Siku wakiwa wanapita na gari lao la matangazo wanaomba wafanyabiashara wakalipe kodi hupita hata mara 5 kwenye barabara huku tangazo likisemwa taratibu sana lakini kuna siku nimelishuhudia gari hilo hilo likitangaza wafanyabiashara wahudhulie kikao cha mafunzo ya VAT na mengineyo, lile gari lilipita mara 1 kwa spidi kama limebeba bangi na tangazo halikurudiwa. Lengo tuendelee kutokujua ili waendelee kutusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…