TRA wananiambia niingie VAT

TRA wananiambia niingie VAT

Mkuu kwa mujibu wa sheria unatakiwa kusajili kama VAT tena kama umeambiwa fanya hivyo kabla hasira yao haijawaka wanakushushia mzigo na fine ambazo watafanya wao. Maadam unatakiwa kisheria, basi fanya
 
Ni sheria zetu za kiswahili Swahili ila ilipaswa kila mtu ajiunge na VAT kwa sababu kila kitu unachonunua na kuuza kina vat sasa kwa nini usipeleke vat uliyokusanya serikalini?
 
Kosa langu ni kukata risit halali
Obviously wewe ni wale wanaochukua mali kauli kwa matajiri wanaouzia store huku ukitoa receipts halali na bahati mbaya ukitengeneza faida ndogo.

Ukweli mchungu umewafaidisha wao hao magwiji wa biashara huku wewe ukijipiga pin,nenda zungumza nao hao TRA kisha ujifunze kufanya biashara kwa akili
 
Back
Top Bottom