KERO TRA wananitumia meseji nikafanyiwe makadirio wakati hatukufikia makubaliano

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kijana ulikurupuka sana. Kwenda kubadilisha TIN kuwa ya biashara tayari ni kosa la kiufundi. Pia kuwasilisha taarifa ya mtaji wako ina maana tayari TRA wanajua unafanya biashara. Bora uende ofisini kwao mkaongee muwekane sawa. Maofisa pia ni binadamu isitoshe una ushahidi wa familia kulipa kodi. Hapo hauna jinsi. Pia usiwachukulie TRA poa kuwaona mafala. Hao ni hatari kuliko unavyodhani.
Mwache arukeruke, naona bado ana utoto mwingi sana!
 
... umiliki wa biashara na wala sikuhusisha kuitaja ile biashara kuwa ipo chini ya familia, nilitaka wakinipa nyaraka then ile nyingine familia waandikie imefirisika.
TRA mpitie huku. Hivi kuandika kwamba imefirisika, sio mbinu za kukwepa kodi kweli?

Muwe mnalipa kodi Jamani. Tunahitaji mabarabara, mahospitali na mishahara minono kwa walimu wetu.

TRA hawakosei makadirio kihivyo.
 
TRA kwasasa ni noma ,washamzingua Niffer na yeye kashafunga ofisi yake kwanza.

Ila nawashauri vijana wanaopata fedha wakiwa bado wana utoto wanatakiwa walay low ,mambo ya kuanika mafanikio yako mitandaoni ni mabaya sana...Niffer showoff zimemponza.

Hao kina Chief Godlove na Yule Ney nani sijui kama mganga wale ni Project za Serikali zile ,wataendelea kufanya utumbo mitandaoni bila kubuguziwa ila ukiwaiga wewe lazima TEA-R-A ,TEETH waruke na wewe.
Kujianika kuna attract maadui wengi zaid kuliko marafiki. Tatizo mtu yiko addicted ma umaarufu hawezi acha kujianiks
 
Iko hivi, nina biashara ambayo niliifungua kupitia familia, wakati huo nilikuwa bize na shule na umri haukuruhusu kupewa nyaraka na gavoo, pia familia hawakutaka nijihusishe na side hustle ila walisapoti wakawa wanasimamia show zangu.

Wanasema cha mtu mavi, ukitaka ubaya kabidhi ndugu mali, sikutaka ifike huko nilipomalizana na shule nikataka nibadili biashara irudi kwangu ki documents.

Mimi ni wale watu wasiopenda shida na karaha na taabu, so niliingia TRA portal nikachange TIN yangu kuwa BUSINESS TIN, nikaenda TRA wakaniletea longo longo na hesabu zao za kodi za kitapeli (makadilio ya kodi kwenye biashara yakawa makubwa kuliko kodi tuliyokuwa tunalipa tayari kama familia )

Niliwasilisha tu taarifa za mtaji na vitu muhimu lakini sikuwaambia kama nabadili umiliki wa biashara na wala sikuhusisha kuitaja ile biashara kuwa ipo chini ya familia, nilitaka wakinipa nyaraka then ile nyingine familia waandikie imefirisika.

Hatukufikia muafaka na kwa kuwa biashara ilikuwa inaenda good nikaon aniache kwanza kufatilia TRA na pia nilipata ajira nikawa bize siku za kwenda TRA ikawa issue.

AJABU YA TRA
Mwaka huu May wameanza kunitumia meseji niende kufanya makadilio ya kodi na nilipe kabla ya 31 may kuepuka adhabu, hii wametoa wapi kama hatukufikia muafaka wa mimi na wao kuhusu kodi na hata nilipojaribu kufosi nipate mashine ya EFD kwa jna langu la ofisi waligoma wakasema sijakamilisha taratibu zao.

Familia inalipa kodi kwa mujibu wa makadilio na mimi sihusiki nayo kabisa kwa sasa.
Mkuu hapo kuna mambo hujaweka sawa na hueleweki.

Je biashara msimamizi ni nani hata kama ni ya familia? Lazima kuwe na muwakilishi hawawezi fuata familia nzima.
Je ulibadili namba wakati wa hizo process?
Je familia inalipa kodi sahii?
Kwa nini ulitaka ubadili umiliki bila kushirikisha familia?

Hata usipotokea mahakamani kesi huwa inaamuliwa bila muhusika kuwepo sasa ukishadakwa ndio utakata rufaa. Unafikiri ukikaa kimya ndio hawatakukadiria?

Kiufupi umechanganya mambo mengi sana kwenye uzi wako.
 
TRA mpitie huku. Hivi kuandika kwamba imefirisika, sio mbinu za kukwepa kodi kweli?

Muwe mnalipa kodi Jamani. Tunahitaji mabarabara, mahospitali na mishahara minono kwa walimu wetu.

TRA hawakosei makadirio kihivyo.
Huyu dogo ni mpumbavu mno.
 
TRA kwasasa ni noma ,washamzingua Niffer na yeye kashafunga ofisi yake kwanza.

Ila nawashauri vijana wanaopata fedha wakiwa bado wana utoto wanatakiwa walay low ,mambo ya kuanika mafanikio yako mitandaoni ni mabaya sana...Niffer showoff zimemponza.

Hao kina Chief Godlove na Yule Ney nani sijui kama mganga wale ni Project za Serikali zile ,wataendelea kufanya utumbo mitandaoni bila kubuguziwa ila ukiwaiga wewe lazima TEA-R-A ,TEETH waruke na wewe.
Niffer anafanya show off za kitoto sana. Nadhani hili likipita hatarudia tena.
 
TRA mpitie huku. Hivi kuandika kwamba imefirisika, sio mbinu za kukwepa kodi kweli?

Muwe mnalipa kodi Jamani. Tunahitaji mabarabara, mahospitali na mishahara minono kwa walimu wetu.

TRA hawakosei makadirio kihivyo.
Hili toto jinga tu! Na huko shule naona lilienda kusomea ujinga!
 
TRA kwasasa ni noma ,washamzingua Niffer na yeye kashafunga ofisi yake kwanza.

Ila nawashauri vijana wanaopata fedha wakiwa bado wana utoto wanatakiwa walay low ,mambo ya kuanika mafanikio yako mitandaoni ni mabaya sana...Niffer showoff zimemponza.

Hao kina Chief Godlove na Yule Ney nani sijui kama mganga wale ni Project za Serikali zile ,wataendelea kufanya utumbo mitandaoni bila kubuguziwa ila ukiwaiga wewe lazima TEA-R-A ,TEETH waruke na wewe.
Uwe una weka hata na ushahidi hata kidogo na wew.
IMG_20240518_003000.jpg
 
Iko hivi, nina biashara ambayo niliifungua kupitia familia, wakati huo nilikuwa bize na shule na umri haukuruhusu kupewa nyaraka na gavoo, pia familia hawakutaka nijihusishe na side hustle ila walisapoti wakawa wanasimamia show zangu.

Wanasema cha mtu mavi, ukitaka ubaya kabidhi ndugu mali, sikutaka ifike huko nilipomalizana na shule nikataka nibadili biashara irudi kwangu ki documents.

Mimi ni wale watu wasiopenda shida na karaha na taabu, so niliingia TRA portal nikachange TIN yangu kuwa BUSINESS TIN, nikaenda TRA wakaniletea longo longo na hesabu zao za kodi za kitapeli (makadilio ya kodi kwenye biashara yakawa makubwa kuliko kodi tuliyokuwa tunalipa tayari kama familia )

Niliwasilisha tu taarifa za mtaji na vitu muhimu lakini sikuwaambia kama nabadili umiliki wa biashara na wala sikuhusisha kuitaja ile biashara kuwa ipo chini ya familia, nilitaka wakinipa nyaraka then ile nyingine familia waandikie imefirisika.

Hatukufikia muafaka na kwa kuwa biashara ilikuwa inaenda good nikaon aniache kwanza kufatilia TRA na pia nilipata ajira nikawa bize siku za kwenda TRA ikawa issue.

AJABU YA TRA
Mwaka huu May wameanza kunitumia meseji niende kufanya makadilio ya kodi na nilipe kabla ya 31 may kuepuka adhabu, hii wametoa wapi kama hatukufikia muafaka wa mimi na wao kuhusu kodi na hata nilipojaribu kufosi nipate mashine ya EFD kwa jna langu la ofisi waligoma wakasema sijakamilisha taratibu zao.

Familia inalipa kodi kwa mujibu wa makadilio na mimi sihusiki nayo kabisa kwa sasa.
unaweza kuwa unawalaumu tra bure kumbe hata wewe kuna shida mahali umekosea.Baada ya kuwa uliomba tin ya biashara na kufika ofisini kwao ulitakiwa kuandika barua kuwa umesimamisha biashara maana tayari ulishaanza kuonekana unabishara sasa kosa lako ulikaa kimya na tayari ulishakuwa na tin ya biashara. wakati mwingine janja janja zetu zinatuponza. Ushauri rudi ukafatilie maana unaweza kuta deni linakuwa kwa kuwa hujawahi fika tena fatilia itaonekana unafanya biashara kimya kimya.
 
KALIPE TU HUKU HAKUNA MSAADA NIKUJUAVYOO

ANAEKWAMBIA UKWELI ANAKUSAIDIA TUNAONGEZA BARABARA UBUNGO KMR ...KMR BONYOKWA ZOTE HIZI N HELA ZINAHITAJIKA
 
unaweza kuwa unawalaumu tra bure kumbe hata wewe kuna shida mahali umekosea.Baada ya kuwa uliomba tin ya biashara na kufika ofisini kwao ulitakiwa kuandika barua kuwa umesimamisha biashara maana tayari ulishaanza kuonekana unabishara sasa kosa lako ulikaa kimya na tayari ulishakuwa na tin ya biashara. wakati mwingine janja janja zetu zinatuponza. Ushauri rudi ukafatilie maana unaweza kuta deni linakuwa kwa kuwa hujawahi fika tena fatilia itaonekana unafanya biashara kimya kimya.
Mwambie ykwelii
 
Back
Top Bottom