TRA Watoa bei mpya za stempu za kodi za kielektroniki (ETS)

TRA Watoa bei mpya za stempu za kodi za kielektroniki (ETS)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Salaam Wakuu,

Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa bei mpya za stempu za kodi za kielektroniki. Tazama katika picha hii hapa chini.
IMG-20220117-WA0019.jpg
IMG-20220117-WA0020.jpg
 
Unanunua gari kwa milioni saba toka Japani na linafika Dar lakini TRA wakiwa wamenyoosha tu miguu ofisi nao wanataka wakukamue milioni saba nyingine sawa na waundaji wa gari hali hata kutengeneza ufunguo tu wa gari hawajashiriki na hawajui.
Bmw 5series 2011ni m14 TRA kodi ni milion 22. Kama si wazimu ni nini
 
Back
Top Bottom