Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Siyo haki mkuu,Mkopo wachukue Zanzibar halafu tozo za kuulipa tukamuliwe sisi? Hii ni haki?
Unanunua gari kwa milioni saba toka Japani na linafika Dar lakini TRA wakiwa wamenyoosha tu miguu ofisi nao wanataka wakukamue milioni saba nyingine sawa na waundaji wa gari hali hata kutengeneza ufunguo tu wa gari hawajashiriki na hawajui.Wapunguze ushuru wa magari
Bmw 5series 2011ni m14 TRA kodi ni milion 22. Kama si wazimu ni niniUnanunua gari kwa milioni saba toka Japani na linafika Dar lakini TRA wakiwa wamenyoosha tu miguu ofisi nao wanataka wakukamue milioni saba nyingine sawa na waundaji wa gari hali hata kutengeneza ufunguo tu wa gari hawajashiriki na hawajui.