Wanaficha kwakuwa wananufaika....upigaji nchi hii nikama seraNapendekeza TRA waweke mfumo wa wazi ili watu waweze kutizama Taarifa za usajili wa gari, piki piki au bajaj ili kujia mmiliki halali ni nani
Mnaficha kitu gani kuweka mfumo huo kuwa huru? Mbona ni jambo ambalo linawezekana na ni jepesi tu
Hili litasaidia sana kuzuia watu kutengeneza kadi feki kwa sababu mtu akitaka kununua chombo cha moto anaingia kwanza kwenye mfumo nankutizama umiloko halali wa chombo hicho taarifa ambazo zitakuwa zimeunganishwa na NIDA na picha ya mmiliki.
Unafikiri kwa ushauri wako njia gani itafaa kukabiliana na watu kuuziwa kadi feki?Wizi wa siku hizi si kadi fake kwa jina fake bali ni kadi fake kwa duplicate ya kadi original. Hii itarahisisha kuongeza tatizo maana kama nina IST nyeupe ambayo ni ya wizi au haijasajiliwa nitakachofanya ni kuifahamu IST yoyote nyeupe, kuingia kwenye database na mm kutoa duplicate ya kadi na kuchongesha namba kisha kutafuta mjinga mjinga asiyefanya uchunguzi na kumuuzia wakamdake wakati anakata insurance.
Tupe ujuzi mkuu,nikitaka niangalie sasa hivi umiliki wa chombo changu ni google wapi?mbona vyote hvyo vipo ndugu sema tu huna taarifa
Suluhisho ni mnunuzi kununua gari kutoka kwa mmiliki na sio dalali au mtu ambaye Jina lake halisomi kwenye kadi.Unafikiri kwa ushauri wako njia gani itafaa kukabiliana na watu kuuziwa kadi feki?
Tatizo linakuja kumpata mmiliki anaye uza gari uitakayo ndio maana tunatumia madalali kwa sababu wai wanajua kutafuta magari kwa wauzaji , sasa mteja utajuaje kwamba gari ninayo itaka ni gx100 na mwenye nayo anaye uza ni bwana abdallah?Suluhisho ni mnunuzi kununua gari kutoka kwa mmiliki na sio dalali au mtu ambaye Jina lake halisomi kwenye kadi.
Hakikisha anayekuuzia gari ni mmiliki halali wa gari. Fata taratibu za manunuzi, chukua nyaraka zinazohitajika na badilisha kadi ndani ya muda husika.
OGOPA KAULI ZA SIKUBADILI JINA, MWENYE GARI YUPO MBALI, NINA MKATABA TU WA MAUZIANO ILA JINA SI LANGU. Hayo mambo kaa nayo mbali ikiwezekana unless mwakilishi ana nyaraka zote zinazohalalisha kumwakilisha muuzaji.
Tuache kununua gari kama viatu vya mtumba. Ukiachana na kutapeliwa pia kuna historia ya matumizi ya gari kihalifu n.k
Hiyo ni miongoni mwa sheria za hovyo zilizo pitwa na wakati kwa ulimwengu wa sasa ,umiliki wa chombo sio jambo la siri wala la kuficha halina athari zozote kwa mteja, kama check namba zinabandikwa kwenye ubao wa matangazo hadi mama ntilie anazisoma sembuse taarifa za umiliki wa chombo?Kutoa taarifa za Wateja ovyo ni kinyume cha sheria. Upo utaratibu wa uhakiki wa chombo pale unapotaka kuuza/kununua ama kubadili umiliki kwa sababu yoyote ile.
Sheria ya usimamizi wa kodi sura ya 438, kipengele cha 3 Sehemu ya 21 kinaelezea vizuri suala hili.
Dalali si muuzaji wa gari ila ni daraja la mnunuzi kumfikia muuzaji wa gari. Dalali kazi yake ni kukufikisha kwa muuzaji wa gari, wewe kazi yako ni kuhakikisha muuzaji ni mmiliki halali na ana nyaraka zote zinazothibitisha hilo.Tatizo linakuja kumpata mmiliki anaye uza gari uitakayo ndio maana tunatumia madalali kwa sababu wai wanajua kutafuta magari kwa wauzaji , sasa mteja utajuaje kwamba gari ninayo itaka ni gx100 na mwenye nayo anaye uza ni bwana abdallah?
Sijui kama atakuelewaWizi wa siku hizi si kadi fake kwa jina fake bali ni kadi fake kwa duplicate ya kadi original. Hii itarahisisha kuongeza tatizo maana kama nina IST nyeupe ambayo ni ya wizi au haijasajiliwa nitakachofanya ni kuifahamu IST yoyote nyeupe, kuingia kwenye database na mm kutoa duplicate ya kadi na kuchongesha namba kisha kutafuta mjinga mjinga asiyefanya uchunguzi na kumuuzia wakamdake wakati anakata insurance.
Mkuu Cardless mambo vp?Sijui kama atakuelewa
Ipo njia kupata majina kadi ya Gari katika mfumo wa TRA, mfano ingia katika mitandao ya simu Kama unahitaji kukata Bima ya chombo, Kuna hatua utaona majina mmiliki chombo kabla hatua ya mwisho.
Toa maelekezo unafanyaje?Tupe ujuzi mkuu,nikitaka niangalie sasa hivi umiliki wa chombo changu ni google wapi?
Shida sisi watanzania ujanja ujanja mwingi maana hapo tu mmiliki hatumjui tunabumba kadi feki je na jina tukilijua sindiyo itakuwa hatari zaidi kubumba kadi? Ndiyo maana hata passport wanaficha baadhi ya taarifa ili ukibumba wakudake. Ushauri ni bora uwasiliane na tra wenyewe kama unataka nunua gari kujua kadi ni feki au.Napendekeza TRA waweke mfumo wa wazi ili watu waweze kutizama Taarifa za usajili wa gari, piki piki au bajaj ili kujia mmiliki halali ni nani
Mnaficha kitu gani kuweka mfumo huo kuwa huru? Mbona ni jambo ambalo linawezekana na ni jepesi tu
Hili litasaidia sana kuzuia watu kutengeneza kadi feki kwa sababu mtu akitaka kununua chombo cha moto anaingia kwanza kwenye mfumo nankutizama umiloko halali wa chombo hicho taarifa ambazo zitakuwa zimeunganishwa na NIDA na picha ya mmiliki.
Hata kwenye taarifa za mmiliki wanaweza kuficha baadhi ya identity kwa usalama lakini taarifa za awali kama jina na plate namba zikawepoShida sisi watanzania ujanja ujanja mwingi maana hapo tu mmiliki hatumjui tunabumba kadi feki je na jina tukilijua sindiyo itakuwa hatari zaidi kubumba kadi? Ndiyo maana hata passport wanaficha baadhi ya taarifa ili ukibumba wakudake. Ushauri ni bora uwasiliane na tra wenyewe kama unataka nunua gari kujua kadi ni feki au.
Unajua sisi wabongo tunajitengenezea wenyewe vizingiti.Ujanja ujanja unatuponza sana. Unauziwa kiwanja na kuna mtu mwingine kashauziwa hapo hapo hati hiyo imekopea benki na kiwanja chenyewe kipo kwenye eneo la hifadhi. Magari ndiyo usiseme unakuta wamekata chassis wanabandika namba ya gari kama hilo.Acha tu tupigwe pini maana forge zimezidi hatuoneani huruma mtu umehangaika kutafuta visenti angalau nawe uwe hata na IST yako unakumbana na jinga moja linakupigia fake. Na hapo kumbuka ndiyo kuna taarifa zimefichwa sasa ngoja zikiwa wazi sijui itakuwaje. kingine unanunu gari kumbe wewe ni mtu wa nne toka mmiliki wa kwanza kuliuza hapo chain nzima hawajabadili jina daaaHata kwenye taarifa za mmiliki wanaweza kuficha baadhi ya identity kwa usalama lakini taarifa za awali kama jina na plate namba zikawepo