Interview imekwisha, tukubaliane na yatakayokuwa matokeo then tugange yajayo. Ila kwa waliohudhuria tulikuwa kama 400, hivi kweli hzo booklets zaweza kusahihishwa leo, kupanga marks na kubandika kama walivyosema kuwa kesho sa saba kitu kitakuwa hewani?wanasahihisha kwa umakini au wanavigezo vyao tyr?