Najuta maana hata department za tax nilikuwa sijui, nikabakia na customs and excise tu. Kwenye hesabu mi blank ya kutosha. Katikati watu stini wa kesho siwezi kuwepo maana vichwa nilikuwa vingi sana..
Interview imekwisha, tukubaliane na yatakayokuwa matokeo then tugange yajayo. Ila kwa waliohudhuria tulikuwa kama 400, hivi kweli hzo booklets zaweza kusahihishwa leo, kupanga marks na kubandika kama walivyosema kuwa kesho sa saba kitu kitakuwa hewani?wanasahihisha kwa umakini au wanavigezo vyao tyr?
Watu jana walienda fanya interview sasa hayo maswali sasa!
TRA ina department ngapi?
Tz ina border ngapi?
TRA ina mkakati wa kukusanya mapato ya kiasi gani kwa 2012/13?
Alafu na vihesabu vya hapa na pale!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.