S Sauti ya Rondo Senior Member Joined Aug 1, 2009 Posts 127 Reaction score 226 Nov 4, 2017 #1 Kamishna wa kodi za ndani wa TRA,Ndg.Elijah Mwandumbya aamua kupigania maslahi ya wasanii wa taifa kwa ujumla kwa kuzuia ulanguzi wa kazi za wasanii unaopelekea serikali kupoteza mapato kwa maslahi ya maendeleo ya taifa. Fungua link:
Kamishna wa kodi za ndani wa TRA,Ndg.Elijah Mwandumbya aamua kupigania maslahi ya wasanii wa taifa kwa ujumla kwa kuzuia ulanguzi wa kazi za wasanii unaopelekea serikali kupoteza mapato kwa maslahi ya maendeleo ya taifa. Fungua link:
mo effect JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 567 Reaction score 637 Nov 4, 2017 #2 Watu tupo kwenye flash, 3D, HD, blogs, App wewe unaleta mambo ya CD ovyo kabisa
Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,321 Reaction score 18,574 Nov 4, 2017 #3 Kwani CD za wasanii wa bongo kuna watu wananunua? Nikihitaji nyimbo au movie kazi yangu ni bundle na simu nashusha mzigo ukijaa nahamishia kwenye PC na external Hdd
Kwani CD za wasanii wa bongo kuna watu wananunua? Nikihitaji nyimbo au movie kazi yangu ni bundle na simu nashusha mzigo ukijaa nahamishia kwenye PC na external Hdd