TRA yadhamiria kuzuia piracy kazi za wasanii kwa kukamata Cds feki.

TRA yadhamiria kuzuia piracy kazi za wasanii kwa kukamata Cds feki.

Sauti ya Rondo

Senior Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
127
Reaction score
226
Kamishna wa kodi za ndani wa TRA,Ndg.Elijah Mwandumbya aamua kupigania maslahi ya wasanii wa taifa kwa ujumla kwa kuzuia ulanguzi wa kazi za wasanii unaopelekea serikali kupoteza mapato kwa maslahi ya maendeleo ya taifa.

Fungua link:

 
Watu tupo kwenye flash, 3D, HD, blogs, App wewe unaleta mambo ya CD ovyo kabisa
 
Kwani CD za wasanii wa bongo kuna watu wananunua?

Nikihitaji nyimbo au movie kazi yangu ni bundle na simu nashusha mzigo ukijaa nahamishia kwenye PC na external Hdd
 
Back
Top Bottom