TRA Tanzania Senior Member Joined Jul 16, 2022 Posts 128 Reaction score 370 May 2, 2024 #1 Leo tarehe 02.05.2024, TRA imetoa elimu juu ya athari za magendo kama vile kuhatarisha afya kwa kuingiza bidhaa zisizo na ubora kwa wakazi wa soko la Gwanumpu lililopo Ujirani Mwema mpakani mwa Tanzania na Burundi.
Leo tarehe 02.05.2024, TRA imetoa elimu juu ya athari za magendo kama vile kuhatarisha afya kwa kuingiza bidhaa zisizo na ubora kwa wakazi wa soko la Gwanumpu lililopo Ujirani Mwema mpakani mwa Tanzania na Burundi.