TRA yafafanua kuhusu suala la Mwekezaji wa Kilimanjaro

TRA yafafanua kuhusu suala la Mwekezaji wa Kilimanjaro

... issue ya mwekezaji ilikuwa nini hasa? Some details please.
 
Bora kama wamemuita ila TRA hii safi sana mmebadilika kweli maana mmetumia busara sana big up
 
Naona kigugumizi kingi,

Sijamwelewa kwakweli
 
Subirini figisu atakazofanyiwa
tusipende kuongelea vitu vya kufikirika yaani tayari umeshahukumu hapo. Mbona wapo waliolalamika na kusaidiwa ,kwani hawa TRA waweke Clip halafu wakamfanyie visa kisa .Nachojua ni kama atakuwa yupo sahihi atafanikisha na kama atakuwa hayupo sahihi ataelekezwa na kufahamishwa na isitoshe nakumbuka Kasuliu waliwahi lalamika TRA , kuna timu ilienda na bosi wao mkubwa na waliwasaidi wafanyabiashara kasulu waliokuwa na changamoto
 
Back
Top Bottom