Yule mzee ujue hakuwa na simile hata kidog dhidi ya uovu.Hata kama ulifanya maovu miaka 10 iliyopita anakushughlikia .Kiufupi alifukua makaburi kitu ambacho usipojitoa kafara huwezi.Kwan watumishi hewa waliajiriwa leo? C ni zaid ya miaka 20 nyuma! Pembejeo hewa,wanafunzi hewa vyuo Vikuu na mengi mengi kabisa.Kwa upande wa biashara kama mwenendo ulikuwa hivyo basi huenda kulikuwa na Tax clearance za kifisad .Walifuatiliwa na hatua zikachukuliwa na ndio Maana wanaolalamika leo wala mahakaman hawajaenda. Sasa Leo wamesamehewa tuu wanataka huruma ooh account zetu zilifungwa, mbona hamsemi zilifungwa kwa sababu zipi? Inamaana waliofunga walikuwa wendawazimu wakaendesha zoez la fungafunga tuu? Jiulize mbona cio wote? ,,,,,,Mimi cio Sukuma Gang ila sikuuuona utawala wa Nyerere,sikuwa na ufahamu utawala wa Mwinyi na Mkapa kwan 1995 tuu yenyewe nilikuwa Std four. Ila niliona yale mambo ambayo yalikuwa wazi kwa wananchi awamu ya Nne ya maisha bora! Wengi walitafsiri Maishabora ni ilimrad uwe na Maishabora bila kujali umeyapata kwa njia ya halal ama Harman,kilichotakiwa ni Maishabora tuu. Sasa waliojitafutia Maishabora wakayapata kwa njia za haramu ndio hao wamekuja kunywa maji kwa karai awamu ya tano !RIP JPM🙆 tutakukumbuka wanyonge . Uliwaona mafisad ukiwa waziri , wale wote ambao walijitafutia maisha bora bila kujali haki za wanyonge ukalala nao mbele kwelikweli. Kwkuwa walikuwa na uwezo kifedha ndio hao wenye sauti katika jamii,na ndio Maana uliporudi kwa baba muumba wanakuita majina Mabaya (Si unakumbuka ukiwa hai walikuita Dictator) saivi wanakuita "mwendazake" Jina ambalo nalikasirikia kishenzi.Tangu JPM amefariki inakuaje tunasikia Mabaya tuu Ile hali Mikoan tunapita chochoro zenye lami? Mwenzenu nilipoziona barabara zenye mabaki ya lami nikadhan Wakolon tuu ndio waliweza kujenga.Hayat JPM akanibadilisha mtizamo sasa najua kumbe wabongo tunaweza!!!!!