TRA Yagawa bidhaa kwa taasisi za serikali

TRA Yagawa bidhaa kwa taasisi za serikali

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Mamlaka ya mapato tra mkoani tabora imegawa mali mbalimbali ilizokamata kati ya mwaka 2019-2022 kutoka kwa wafanyabiashara waliokiuka utaratibu wa utoaji wa risiti kwa njia ya kielektroniki efd kwenye miamala yao.

tra imegawa mali hizo kwa jeshi la magereza na idara ya elimu manispaa ya tabora huku tra wakishindwa kuweka wazi thamani ya mali hizo.

source;azam tv
 
Maajabu ya TRA Tabora, imegawa vitu ambavyo haijui thamani yake!
 
Back
Top Bottom