TRA yaja na elimu kwa njia ya mtandao

Scaramanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2020
Posts
490
Reaction score
704
Mamlaka ya Mapato Tanzania naona imebuni njia ya kutoa elimu kwa mtandao na hii wamekuja na kuhusiana na uboreshaji wa mfumo wao wa e file
 
Hii taarifa ilinipita i say .
Samahani naweza kukuuliza jambo kuhusiana na hayo mabadiliko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…